Nilikuwa napitia machapisho ya nyuma nikakukumbuka ndugu, najaribu kuwaza wana waoemu vindaki ndaki ambao wamekisotea chama wanajisikiaje na hizi teuzi za watu toka upinzani....najaribu kuwaza ila maana wanaofaa kupewa hizi hot posts ni wanaotoka upinzani tu kwa kuwa ni vichwa sana? Kwamba wasio na appointments ni magarasa ndani ya chama ama ni kuzidi kuwavutia wapinzani ili kuuzika kabisa upinzani? Nawaza tu...