Joto Balaa
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,141
- 770
Acha kupotosha vitu vilivyoko wazi kama hivi na kama Engineering haiko upande wako nyamaza kuliko kuendelea kujiaibisha.ANYWAY hii vita nimeanza kuielewa kuna kamkoa fulani kakikaa mahali kanajijengea kaufalme wa milele.Wanufaika naona mmeanza kelele
Civil engineer ana uwezo mkubwa kuanzia ujenzi wa miundo mbinu ya umwagiliaji kwa ajili ya kilimo,ujenzi wa mabwawa ya ufugaji wa sammaki,ujenzi wa mabanda ya kuku,nguruwe,ngombe nk,civil engineer ni mjenzi wa maghala ya kuhifadhi vyakula,ujenzi wa miundo mbinu ya kilimo ya mashamba makubwa (estates) huangua chini yake,Huwezi kuongelea ujenzi wa miundo mbinu yoyote ya kilimo,mifugo au maji bila kumweka civil engineer.