MKWEPA KODI
JF-Expert Member
- Nov 28, 2015
- 28,707
- 71,003
- Thread starter
-
- #21
Nazungumzia aina ya adhabu na mazingira yake yanatekelezeka?, foleni, kasi ya magari, dereva mgonjwa n.k.Dawa ni kutotupa taka ukiwa ndani ya gari.., la sivyo tembea na maji na dekio kabisa, hatutaki ujinga, tumechoka na uchafu.
Nimegundua kuwa nina kiwango kikubwa cha uelewa kuliko UVCCM ngoja nikae kimya, nitakuwa nawajibu wenye uelewa tuUkitaka kujua swala la kumfunza mwanao umuhimu wa kutunza mazingira ni jukumu lako mzazi, pita makongo kuelekea tegeta mtoto wako atupe uchafu pale. Ndo utajua moto wake
Sheria zinatungwa na taasisi maalumu sio mtu mmoja anajiamulia tu anavyojisikiautatupaje taka hovyo kama duwanzi?
Mkuu utapigaje deki barabara kilomita moja na foleni za Dar?, maji unatoa wapi?, dekio unatoa wapi?
Mkuu kuna vyombo maalumu vya kutunga sheria, vikihitaji maoni yangu nitatoa, lakini kumbuka binadamu hatulingani kiakili pamoja na matunzo, wengine hawajapata malezi ya wazazi n.k.Hilo tolea ushauri unataka wapewe adhabu ipi... sio kuandika ya watu kutofunzwa makwao.
hilo ni agizo lake kwa mkoa wake, siyo sheria ya nchi..... MOSHI WALILALAMIKA SANA LAKINI BAADA YA WATU KUKAMATWA NA KUTOZWA ELFU 50 HAKUNA ANAYETHUBUTU KUTUPA HATA GANDA LA PIPI.Sheria zinatungwa na taasisi maalumu sio mtu mmoja anajiamulia tu anavyojisikia
Mkuu hata ingekuwa kitongoji kidogo tu, hili ni agizo la hovyo sana, unakumbuka lile agizo la wakati ule lilopelekea mfanyabiashara kupigwa sana na kuumizwa na JKTnashukuru hii ni kwa Dar tu.
Hao watoto ni jukumu la mzazi kuwafunza.. sio kitu cha eti ifutwe kisa malez.. jaribu lingine.. kumbuka watu wazima nao humo humo.. na iendelee ikiwezekana.
Sawa kabisa, wewe umenielewa, aina ya adhabu tena isipangwe na mkuu wa mkoa bali ipangwe na vikao halali vyenye majukumu hayohilo ni agizo lake kwa mkoa wake, siyo sheria ya nchi..... MOSHI WALILALAMIKA SANA LAKINI BAADA YA WATU KUKAMATWA NA KUTOZWA ELFU 50 HAKUNA ANAYETHUBUTU KUTUPA HATA GANDA LA PIPI.
Mkuu wewe umeamua kuchagua pointi yake ya watoto tu, zipo sababu nyingi tu ambazo baadhi nimezitaja hapoNaafikiana nawe, mleta mada hajapima hoja yake, sijui hao watoto ndiyo huendesha hayo magari!!?
Nimekuelewa vizuri, mi nadhani tusubiri tuone watakaopewa adhabu ukute watapewa maji na dekio kurahisisha kaziMkuu nazungumzia utekelezaji wa hiyo adhabu, hebu tulia uusome uzi vizuri halafu ndiyo urudi tena
Foleni, kama hakuna foleni kwa mfano, maana siyo kawaida Dar kutokuwa na foleni ukikutana na magari yenye kasi kubwa si utasabisha ajali na foleni kubwa?Nimekuelewa vizuri, mi nadhani tusubiri tuone watakaopewa adhabu ukute watapewa maji na dekio kurahisisha kazi
Toka lini sheria zinatungwa na mtu mmoja halafu watekelezaji wa adhabu wanapewa wanajeshi?, hii ni hatari sana, tena anayetoa agizo sio amiri jeshi mkuu wa majeshi nchiniJamaa'ko kakurupuka. Nae kawa mtunga sheria siku hizi
Hatuwezi kufukuzwa kwenye nchi yetu, lazima tumshauri amiri jeshi mkuu wa majeshi nchiniHili jiji kama tunafukuzwa hivi.
Mkwepa kodi amsamehe MKWEPA KODI!Mh.Makonda msamehe MKWEPA KODI.