Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,028
- 144,382
Angekuwa ni CEO wa Taasisi ya umma sijui kama angeachwa maana angeambiwa anaikosesha serika mapato.Mwigulu Nchemba ameanza kukiuka maagizo ya Rais kuwa mawaziri waache kuzunguka kujijenga kuwania urais kwa kutumia kiki kama za harmorapa.
Mheshimiwa rais huwa hana fikra za kijinga kama hizi. Dont dare him.! Mnadhani ni rais wa matamko ya watu wa hovyohovyo wasiokuwa na mawazo chanyaRaisi Maguguli kama kweli Waziri Mwigulu ametoa agizo la kuwataka polisi kuyaachia magari yaliyokamatwa kwa kutolipa Road license kama ilivyoripotiwa hapa JamiiForums,kwa kuheshimu utawala wa sheria na Mamlaka ya Bunge, nakushauri ulifute agizo hili la waziri Mwigulu kwani si halali kisheria kama kweli kaagizo hivyo.
Habari hiyo hapa JamiiForums inapatikana kupitia hii link hapa chini:
Kabla Bunge halijapitisha, Mwigulu aamuru polisi kuachia magari iliyoshikilia
Wabunge pia mnatakiwa kutafuta ukweli wa jambo hili na kisha mlijadili Bungeni.
Ningekuwa mimi ndio Raisi, na hii habari nikathibitisha kuwa ni ya kweli,ningemvua uwaziri mara moja.
Bajeti hazijatekelezwa alafu wewe unateta maamuzi ya aina hii ambayo yanayoikosesha serikali mapato?!Mheshimiwa rais huwa hana fikra za kijinga kama hizi. Dont dare him.! Mnadhani ni rais wa matamko ya watu wa hovyohovyo wasiokuwa na mawazo chanya