Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,068
- 151,316
Rais Maguguli kama kweli Waziri Mwigulu ametoa agizo la kuwataka polisi kuyaachia magari yaliyokamatwa kwa kutolipa Road license kama ilivyoripotiwa hapa JamiiForums, kwa kuheshimu utawala wa sheria na Mamlaka ya Bunge, nakushauri ulifute agizo hili la waziri Mwigulu kwani si halali kisheria kama kweli kaagizo hivyo.
Habari hiyo hapa JamiiForums inapatikana kupitia hii link hapa chini:
Kabla Bunge halijapitisha, Mwigulu aamuru polisi kuachia magari iliyoshikilia
Wabunge pia mnatakiwa kutafuta ukweli wa jambo hili na kisha mlijadili Bungeni.
Ningekuwa mimi ndio Rais, na hii habari nikathibitisha kuwa ni ya kweli, ningemvua uwaziri mara moja.