Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,109
- 53,630
Mkuu, katika pitapita zangu mjini, nilibahatika kukutana na mama mmoja mstaafu wa hazina, anakwambia, alilazimika kustaafu kabla ya muda kutokana na demands nyingi toka kwa wakubwa waliokua wakitaka awape fedha kila mara kwa safari zao nje ya nchi, anakwambia alikua entrusted na fedha za mradi uliofadhiliwa na jumuia ya kimataifa, kiasi kama dola nilioni 90 kwa ajili ya miradi kadhaa lakini anakwambia fedha zilikwisha na miradi haikufanyika, anakuja mkubwa anamwambia toa kiasi kadhaa nataka kusafiri, kiachi chenyewe dola alfu 20, kuona hivyo mama akaamua kuacha kazi. huu ufujaji wa fedha za uma ufike mahali uishe jamani. ni dhami tunajichumia.
Nchi hii ina hela sema hakuna mipango.