Rais Magufuli, tembelea Wizara ya Maji ujionee madudu

Huku Arusha badala ya kujenga miundo mbinu, wao wameenda kujenga mgorofa mkuubwa wa gharama kama ambae ndio utazalisha maji.
They have their priorities all wrong.
 
Sasa hivi shopping za Dubai na London zikafanyikie Kariakoo
 
Huku Arusha badala ya kujenga miundo mbinu, wao wameenda kujenga mgorofa mkuubwa wa gharama kama ambae ndio utazalisha maji.
They have their priorities all wrong.

Kwa kweli chini ya huyu Prof Wizara imepwaya sana.
Watu wanalalamika hawana pa kwenda.
 
Ngoja amuandae Mgalatia kama alivyofanya kule Muhimbili alipomtoa Dr Hussein na Kumuweka Prof Lawrence na kisha hazina kutoa Bilioni 3 za matengenezo ya Vifaa tiba ... Operesheni Bandua Vibarakashia ...Bandika Msalaba ...
 
No ,no , nonoooo..........no!
Unapotosha mada.
 
Mkuu, katika pitapita zangu mjini, nilibahatika kukutana na mama mmoja mstaafu wa hazina, anakwambia, alilazimika kustaafu kabla ya muda kutokana na demands nyingi toka kwa wakubwa waliokua wakitaka awape fedha kila mara kwa safari zao nje ya nchi, anakwambia alikua entrusted na fedha za mradi uliofadhiliwa na jumuia ya kimataifa, kiasi kama dola nilioni 90 kwa ajili ya miradi kadhaa lakini anakwambia fedha zilikwisha na miradi haikufanyika, anakuja mkubwa anamwambia toa kiasi kadhaa nataka kusafiri, kiachi chenyewe dola alfu 20, kuona hivyo mama akaamua kuacha kazi. huu ufujaji wa fedha za uma ufike mahali uishe jamani. ni dhami tunajichumia.
 
Asante mkuu, mifano hai iko mingi.
I hope wahusika wanapita humu.
Waliothibitika kutumia madaraka vibaya wachukuliwe hatua, mbona Mramba anavuna alichopanda!
 
Huyo Profesa Maghembe ndo alikuwa uozo wa kutupwa, heri hata naibu wake.
Sijui mara ya mwisho ni lini alitembelea miradi hewa vijijini.
Daah! Mkuu, sijui kama una uhakika na ulichoandika hapa; kwa kweli, hujamtendea haki Mh. Prof. Maghembe. Prof. Maghembe ana mapungufu yake kama binadamu, ambayo hata wewe na mimi tunayo, lakini generally Prof. ni mchapakazi na kama ningekuwa na fursa ya kumshauri Mh. Rais Magufuli, basi ningemshauri amrudishe Prof. katika Wizara hiyo.

Watu mnazungumza kwa mihemko tu na wala hamna taarifa sahihi.
 
Ngoja amuandae Mgalatia kama alivyofanya kule Muhimbili alipomtoa Dr Hussein na Kumuweka Prof Lawrence na kisha hazina kutoa Bilioni 3 za matengenezo ya Vifaa tiba ... Operesheni Bandua Vibarakashia ...Bandika Msalaba ...
Ujinga katika ubora wake.
 
Huyo Profesa Maghembe ndo alikuwa uozo wa kutupwa, heri hata naibu wake.
Sijui mara ya mwisho ni lini alitembelea miradi hewa vijijini.
Tehe tehee teheeeeeeee; eti heri hata Naibu wake. Kama hamumjui mtu vizuri, si vyema kuanza ama kumsema vibaya, au kumsifia. Kwa hiki ulichoandika hapa, inathibitisha tu kuwa hujui unalofikiri unajua. Yaani kweli Mh. Makala ndiyo mtu wa kumzidi Mh. Prof. Maghembe katika utendaji!!!!! No no no, huna taarifa sahihi wewe, kama una taarifa sahihi basi nafikiri umeamua kutania watu hapa.
 
Dodoma mjini karibu week nzima sasa hakuna maji, na kipindupindu ndo kimekolea.
 
Mmmmh hatari ila wizara zote ziko vbya kwakweli inabidi azikague ila nasikia wizara 8 out sasa cjui itakuwaje kwa mh
 
Tehe tehee teheeeeeeee; eti heri hata Naibu wake. Kama hamumjui mtu vizuri, si vyema kuanza ama kumsema vibaya, au kumsifia. Kwa hiki ulichoandika hapa, inathibitisha tu kuwa hujui unalofikiri unajua. Yaani kweli Mh. Makala ndiyo mtu wa kumzidi Mh. Prof. Maghembe katika utendaji!!!!! No no no, huna taarifa sahihi wewe, kama una taarifa sahihi basi nafikiri umeamua kutania watu hapa.

At least hata mimi huyu Ingalau nimemwona akienda kukagua miradi.
And thats the least one can do

Ila sijamsikia akikemea watendaji wizarani kwake.
Maghembe ndo kabisa mikoani hawajui anafananaje!
 
Daah! Mkuu, sijui kama una uhakika na ulichoandika hapa; kwa kweli, hujamtendea haki Mh. Prof. Maghembe. Prof. Maghembe ana mapungufu yake kama binadamu, ambayo hata wewe na mimi tunayo, lakini generally Prof. ni mchapakazi na kama ningekuwa na fursa ya kumshauri Mh. Rais Magufuli, basi ningemshauri amrudishe Prof. katika Wizara hiyo.

Watu mnazungumza kwa mihemko tu na wala hamna taarifa sahihi.

Mkuu tunajua Mheshimiwa anaweza kuwa ndugu yako lakini nasema wizara hii imeoza.
Na hilo si kosa lake mwenyewe, kuna wakurugenzi,katibu mkuu n.k.
Tusingependa kumwaga mchele hadharani lakini kazi nyingi hazina usimamizi na hata hapa Dsm bomba la Mchina ni kizungumkuti.
Mikoani ndo kabisaa!
 
Back
Top Bottom