Rais Magufuli, tafadhali mtumbue Harrison Mwakyembe, wizara upande wa michezo imemshinda

chamaclotus

JF-Expert Member
Apr 19, 2019
971
1,969
Kwa kitendo ulichofanya cha kutaka kuihujumu timu yetu ya simba tunasema hatuna imani na wewe tena kwenye mpira wa miguu. Hii timu ya simba sio timu ya serikali bali ina wanachama wake ambao wanafanya maamuzi juu ya klabu. Na sisi ndio wanachama ambao tumeamua kumpa timu Mo Dewji na ametusaidia kufika robo fainali africa mpaka kusaidia Tanzania kuingiza timu nne mashindano ya africa lakini hilo hulioni. Tunakuomba ujiuzulu mapema kabla hatujafanya maandamano ya kukupinga hadharani.
Nawasilisha.
 
Tunakoelekea Tanzania itafungiwa kwasababu ya Waziri wake kuja na

sheria zake ambazo si rafiki kwenye
soka...Serkali ya Tanzania kuingilia Soka la Tanzania ni kosa sana...
Tunafungiwa si muda mrefu
 
Uko sawa...hili lizee halijielewi

Hajasema ni sheria ametoa maoni na mawazo yake kama mtu mwingine wa kawaida mpaka wakae na wahuska yaani wadau wa michezo waamue na kupanga sio kwamba inaanza kutumika kesho acha kukurupuka. Zingine wadau wanaweza kuzikataa hata mimi hii ya idadi wachezaji wa kigeni kupunguzwa siiungi mkono kabisa au kuchezesha mechi 1 wageni wachache siitaki wawekwe wengi tu ili wachezaji wetu wa kitanzania wapate changamoto wakaze buti

Amewashwa na nini huyu waziri mpaka kuanza kutoa maoni kabla ya mjadala kufunguliwa afterall kama upo?
 
MASKINI , TIMU YETU YA TAIFA INAKUFA MACHONI MWETU MAANA ITATEGEMEA SUPER SUB-PLAYERS .
 
Habarini,

Moja kwa moja kwenye mada, ni ombi la waamichezo wengi nchini hapa kwa Rais wa Tanzania amtoe madarakani waziri Mwakyembe maana ameishindwa hiyo wizara hasa upande wa soka.

Nilijaribu kumvumilia alipotoa tamko fyongo kabisa la Amunike na uongozi wa TFF.

Ktk kipindi hiki kifupi, tumeoa mafanikio ya mpira, na ni wazi kazi nzuri ya TFFi inahitaji kuponvezwa. Wachezaji wetu ndani ya nchî wana exposure japo ndogo ila si haba. Exposure hii inaletwa na wachezaji wachache wa kigeni.

Tamko lake kuhusú idadi a wachezaji wa kigeni ni ufinyu wa mawazo wa hali ya juu.
Kapigilia msumari alivyo mweupe kwa kutaka timu ķubwa hapa nchini ziendelee kuwa masikini kwa kuja na hona mboffu mboffu kabisa.

Simba imefanya vizuri sababu ya stability ya kiuchumi. Ni mfano wa kuigwa kwa timu zingine.

Sasa wakati tumepata mwarobaini anäkuja na hoja mbofu kabisa ya hisa 49% zimilikiwe na sio chini ya watu 3.

Hoja mbofu kabisä ya kuua mpira.
ANASTAHILI MTUMBUO MAANA WIZARA IMEMSHINDA.
 
Tunakoelekea Tanzania itafungiwa kwasababu ya Waziri wake kuja na

sheria zake ambazo si rafiki kwenye
soka...Serkali ya Tanzania kuingilia Soka la Tanzania ni kosa sana...
Tunafungiwa si muda mrefu
Huyu mwakyembe ubachela umemlemea...
 
Kwa kitendo ulichofanya cha kutaka kuihujumu timu yetu ya simba tunasema hatuna imani na wewe tena kwenye mpira wa miguu. Hii timu ya simba sio timu ya serikali bali ina wanachama wake ambao wanafanya maamuzi juu ya klabu. Na sisi ndio wanachama ambao tumeamua kumpa timu Mo Dewji na ametusaidia kufika robo fainali africa mpaka kusaidia Tanzania kuingiza timu nne mashindano ya africa lakini hilo hulioni. Tunakuomba ujiuzulu mapema kabla hatujafanya maandamano ya kukupinga hadharani.
Nawasilisha.

Mtu unaweza kuwa na PhD, lakini ukawa zero kwenye nyanja zingine.
Tatizo la Tanzania wanasiasa hasa CCM wanaingilia kila kitu na wanataka kukifanya kiwe chini ya wanasiasa wakati ambapo kitu hicho kinapaswa kifanyike kulingana na taaluma husika. - Aiiiibuuuu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom