Haji Manara kumbe yuko sahahi kuhusu waandishi na wachambuzi wa michezo

comte

JF-Expert Member
Dec 11, 2011
8,222
5,946
Novatus Makunga
Copy and Paste Instagram "Manara kazua Mtafaruku Kwa kuwaita Wachambuzi Takataka Hususa huyu Dauda ikumbukwe kauli hizi za Dauda kuhusu Simba

1.viwango vya Wachezaji wa Simba ni Vidogo ukivilinganisha na vya Yanga Kwa mchezaji M Mmoja hivyo Watalitia aibu taifa kwenye Mashindano ya Caf 2020/2021

2.Simba ni Underdog Hawawezi Kufuzu kwenda Robo fainali 2018/2019 ila Simba ikafuzu Kwa kushinda game zote Nyumbani

3.Jana tarehe 10 may 2021 kwenye Sports Extra Amesema Simba siyo bora Ila wamekutana na timu Dhaifu kwenye kundi lao ambao ni Mabingwa wa Misri na Africa al ahly ,as vita na el Mereikh

4.Alidai Barbara Gonzalez kuwa anapaka Wanja Halafu anaenda kwenye Press Conference kujionyesha

5.alidai Kapombe na Shabalala walikula Advance Yanga je alikua kwenye kamati ya kuihujumu Simba alitoa wapi hizi taarifa?

Huyu huyu Alimdharau Joash Onyango kwakudai ni Mzee hivyo Simba wamekosea Kumsajili

KWA MANENO HAYO JE HAJI MANARA AMEKOSEA AU YUPO SAHIHI KUMUITA DAUDA TAKATAKA?

NINI MAONI YAKO MDAU ???"
 
MKUU HATA MIMI NAKUBALIANA NA WEWE YULE MTOTO NI WA HARMORAPA AISEE.SIO KWA SURA ILE
 
Back
Top Bottom