Rais Magufuli: Siwezi kusikiliza madai ya malipo yoyote wakati kuna malipo hewa kila kona

Hii serikali waseme tu wameshindwa kulipa stahiki za watumishi, hiyo hewa mpaka leo haijapatikana kweli? akili zingine za kitoto sana.
 
Naona huyu bado yuko kwenye kampeni anatoa ahadi tu!! Huyu mtu hajitambui nasikia anapanga kuhamisha kivuko kutoka Dar kwenda Lindi! Ina maana hata kwenye serikali yake bado kuna hewa? Sasa anafanya nini huyu? Mtu anavyoondoka si anaondoka na hewa yake sasa hizi hewa zingine zinatoka wapi?
 
Daah kweli kazi ipo hewa mpaka, madaktari hewa, bashitelization,walimu hewa,
Kama kila kona ni hewa basi mtangulizi wake ndiye aliyetengeneza uhewa huo!! Sasa anapongezwa kwa mamsap kuteuliwa ubunge ili ajiuenge na timu ya kusafisha uhewa. only in Kusadikika
 
Kila kitu ni hewa sasa. Wanafunzi wakitaka kugoma serkali itasema ni hewa. Wafanyakazi nao ni hewa. Na mwaka mzima mpaka sasa tuna wahakiki hawa hewa ila hawaishi.
 
Wafanya
Wewe ndo nakuuliza morali ipi?Maana kama morali ya kazi wenzio hawana tangu walipokosa nyongeza ya mishahara Julai 2016 wewe unazungumzia morali ya malimbikizo???????????
z
Hiyo mifanyakazi ya Serekali haina Morali miaka mingi tu
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Natamani kuwe na button ya kubonyeza ili 2025 ifike kesho jamaa aende zake,maisha watumishi magumu afu kutwa kejeli
 
Unapolipa mishahara halali ya watumishi hujui kuwa wana madai halali? Huyu ni wa miaka mitano tuuuu.
Kwani amekwambia anataka miaka kumi au wapi imeandikwa lazima miaka kumi halafu unaweza kuta kwa akili yako hiu nawe ni mwalimu unaidai serekali walahi sikulipi huwezi kuwa unawafundisha watoto vizuri
 
Hewa jumlisha Hewa ni Mahewaaa! Viwanda Hewa! Majipu Hewa aaaah hata Awamu hii Hewaa! Hewa ni Hewaaa aahhhh
 
Natamani viongozi wakuu wa dini zote watangaze maombi maalumu ya kitaifa ya siku tano tu(kufunga na kuomba)ili Mungu afanye kitu juu ya taifa hili.
 
JPM akihutubia umati wa watu Leo hii Mjini Lindi amesema serikali yake siyo ya kutishwa tishwa na hivyo hawezi kusikiliza madai yoyote wakati kuna Malipo hewa kibao kila Kona.

Mishahara Hewa, Matibabu Hewa, Malipo ya Uhamisho Hewa.. Hewa hewa hewa!

Maoni yangu: Juzi nilisikia viongozi wa walimu wakitangaza mgogoro na Serikali. Kwa hotuba hii poleni sana walimu wote kwani mkuu hatishwi kabisa na kelele za Nyau.

Mtalipwa tukimaliza Hewa! Poleni Sana.

Hivi hilo zoezi halina mwisho? Au ngao ya kuficha udhaifu usiomithilika?
 
Back
Top Bottom