Hilo gap hulioni?Wanchuana kitu gani hapo?
Hivi wewe ndugu ndugu nikikuambia uko brain washed utabisha? Nakuona unajadili vitu usivyovifahamu kabisaa.Serikali tajiri iliyoshindwa kusaidia wahanga wa tetemeko!!
Ebu nitajie waziri anayeshugulika masuala ya jamii nikupe malike ya kutosha.Wewe ndiye usiyewajua mawaziri wa Marekani, wenzio wengi tu wanawajua.
Noma sana !Nimejifunza tu kwamba hata kama una uwezo kiasi gani... Jifunze kuishi na watu vizuri kwasababu hakuna ajuae kesho...... Kumbuka haya
1. Hakuna alie nichangia kwenye kampeni.. Yani kashavuka daraja kwaiyo anabomoa kwakua hatarudi tena
2.Walio ishi kama malaika wataishi kama mashetani! ...... Sasa leo nani angemsaidia mwenzake?
3. Nitabadilisha hela zote msipo toa mlizo ficha ndani!! ...kwanini hizo nguvu haziku tumika kuwasaidia wana kagera bila kutegemea msaada?
Hivi ile michango ya madawati imeitishwa na nani?Kwani imeitishwa na Serikali?
Mpwa haya mawazo yako matatu muda si mrefu yatasemwa kuwa ni ya kichochezi na uchonganishi! Maana huu ni mkuki wa moto kwenye jipu lililoiva.Nimejifunza tu kwamba hata kama una uwezo kiasi gani... Jifunze kuishi na watu vizuri kwasababu hakuna ajuae kesho...... Kumbuka haya
1. Hakuna alie nichangia kwenye kampeni.. Yani kashavuka daraja kwaiyo anabomoa kwakua hatarudi tena
2.Walio ishi kama malaika wataishi kama mashetani! ...... Sasa leo nani angemsaidia mwenzake?
3. Nitabadilisha hela zote msipo toa mlizo ficha ndani!! ...kwanini hizo nguvu haziku tumika kuwasaidia wana kagera bila kutegemea msaada?
SimjuiEbu nitajie waziri anayeshugulika masuala ya jamii nikupe malike ya kutosha.
OK.Simjui
Unafikiri ni rahisi kutumia mdomo na masikio kwa wakati mmoja? Anyway; mkuu angekubali tu awe anaandikiwa (of course anatakiwa azipitie ili akubaliane na maudhuli na ahakiki kuwa inakidhi maleengo yake) hotuba na aisome kama zilivyoandikwa angekuwa salama sana. kwa sasa ataendelea kutoa hotoba hizo hizo ambazo kwa maoni ya wengi hazipendezi na atawaudhi wengi; tena wengi watakasirika mpaka watake kumtukana halafu watakumbuka kuwa hawana tzs milioni 7.Kweli huyu jamaa haishiwi mboyoyo.. Leo hii serikali tajiri??? Hiv huwa anasikiaga vitu anavyoongea???