Prince Kunta
JF-Expert Member
- Mar 27, 2014
- 22,871
- 29,057
Raisi wetu mtukufu anatafutia watu kesi wamtukane ili wafungwe
"The government of America.....", President Obama said when addressing..........Hivi na marais wa mataifa mengine duniani, huwa wanatumia hii kauli "Serikali yangu" ?
-Kaveli-
Wewe ndiye usiyewajua mawaziri wa Marekani, wenzio wengi tu wanawajua.Tulimpigia kura Rais JPM. Na yeye ndiye atakayekuja 2020 kueleza amefanya nini, sio mawaziri. Kwahiyo, ana haki ya kufuatilia kila kitu. Kwa Marekani, hata mawaziri hawajulikani zaidi ya Waziri wa Mambo ya Nje.
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Mimi nishasema sitoi hata senti tano kwa wahanga au michango ya kuomba omba ya serikali hii ambayo kila kukisha wanapiga vita civil liberties zetu za kuongea na kutoa mawazo.
Mwezi mmoja tuu wa 8 walitumia zaidi ya Billion 20 kwenye propaganda za kuziak ukase na babe kwa akina Tindu lissu
sasa iweje leo washindwe kutoa pesa za kusaidia wahanga?
Pesa za dharura wanazo sasa ya nini kuwabana wananchi ambao wanalipa kodi za kila namna?
kama wakisosa pesa bas wasamehe mishahara yao kuanzia Magufuli mpaka madiwani wake bila kusahau pesa za Mwenge kuwasaidia wahanga wa Bukoba na Kagera
lakini mimi suntan yangu hawapati na sishauri mtu atoe pesa zake wala kushiriki kwenye haya mambo ya kuchangishwa mapesa kama maandamano na matamasha
It's very badly signs mbele yetu mkuu,huyuu jamaa ni messiah 100%Kweli huyu jamaa haishiwi mboyoyo.. Leo hii serikali tajiri??? Hiv huwa anasikiaga vitu anavyoongea???
Billion 21 za msd tu zinamtowa jasho...yuko hoisi alipe hata madeni ya watumishi..
kazuia bil.900 za madeni for no apparent reason..
huyu jamaa hata ndoto zake huenda anaota hela tu..
Nimejifunza tu kwamba hata kama una uwezo kiasi gani... Jifunze kuishi na watu vizuri kwasababu hakuna ajuae kesho...... Kumbuka hayaKama ni hivyo ile harambee ya leo ilikuwa ya nini ?
Hii ni moja ya kauli ya Raisi Magufuli kwa wakazi wa Magomeni Kota ambapo ameahidi kuwajengea wakazi hao nyumba.
https://www.google.com/url?sa=t&source=web&rct=j&url=https://www.youtube.com/watch?v=EVDPVqg8PHw&ved=0ahUKEwi45uHRmI3PAhWF1xQKHV6cDnIQwqsBCCEwAQ&usg=AFQjCNEqnHv2VC8jI_TkgaTKi0bUhSlYGQ&sig2=4aXeaMI1F3rnVnKbgG9h6A
ITV wanarudia hotuba yake muda huu.
Serikali tajiri iliyoshindwa kusaidia wahanga wa tetemeko!!serikali tajiri kwelikweli wananchi wake wanajijengea shule zao wenyewe naserikali inashndwa kuwapelekea walimu,serikali tajiri kweli wananchi wanajijenge hosp zao wao wanashndwa kupeleka madaktari na madawa.serikali tajiri mwananch wake hawajui kesho yake
"The government of America.....", President Obama said when addressing..........