Rais Magufuli sema neno moja juu ya EWURA.


M

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2015
Messages
1,739
Likes
815
Points
280
M

Mpalakugenda

JF-Expert Member
Joined Jun 2, 2015
1,739 815 280
Nadhani hawa ewura nao wanahitaji tamko la mkuu wa inchi ili walau waweze kuwa makini katika udhibiti wa bidhaa hasa mafuta ya peteroli na diseli.
Suala sio katika bei pekee hata upatikanaji wake.
Tangu uwezekeno wa hiyo bidhaa ya peteroli na diseli kuweza kupanda bei takribani wiki sasa magari ya upakiaji mafuta kupeleka mikoani yamekwama kufanya zoezi hilo kwa wenye bidhaa kusuasua kuiruhusu.
Hivi ni lini hii inchi hasa hawa wafanyabiashara watafanya shughuliz ao kwa manufaa ya kukuza uchumi wa inchi na sio yak wao wenyewe.?
Hivi karibuni mmetesa wananchi ktk sukari .
leo tena haya ya foleni ya mafuta yamerudi,bei ndio usitake kujua.
Rais,hebu watazame na hawa pia tufahamu changamoto gani,isije kuwa ni sehemu ya hujuma.
20160707_125856-jpg.363836
 

Forum statistics

Threads 1,237,000
Members 475,398
Posts 29,275,450