Rais Magufuli ruhusu ajira sasa

kujiajiri mtaji unatoa wapi kama ni fresh from school? afu ukute nyumbani wamekusomesha ili nawe uje uwasaidie.

wakati tunaambiwa tujiajiri basi mtupatiage na mitaji.
Me sijasema mjiajiri nimesema kujiajiri ni ngumu hasa kwa mtoto wa kiume.. Kwa msichana naona ni rahisi zaidi
 
Ajira 2020 kabla ya uchaguzi vjana
Baada ya hapo ajira nyingine 2025 before elections SAWA
 
Kwani uhakiki wa vyeti umeshaisha...?
 
U Unachosema Ni kweli , but utambue hamna kijana anaependa kukaa bila kuwa na shughuri ya kumpatia kipato. Hiyo kulima utalima vipi huna pesa ya mbegu , huna shamba huna resource yoyote. Na taasisis za kukopa wanataka wakute umeshaanza kufanya shuhuri. Kwa familia zetu za ki Tanzania life gumu wazazi wanasomesha wadogo zako.
 


Wanilipe kwa sababu zipi?
 
Wewe ni mpuuzi
 
hata kujitolea kuna gharama mfano chakula, malazi,nauli,mavazi sema ww unadhani kila mtu ana mtegemezi, wengine wamesimama wenewe wao kama wao
 
Ndio hivyo hapa bado siku chache akaunti inajaa,halafu tunawaambia wajiajiri.

Najiuliza ningekuwa sina ajira ningejiajiri au ningetafuta kuajiriwa kulingana na elimu yangu.
Umeongea point sana
 
Wew unasubiri au uko kazini?
 
John Faru roho yake sawa na makaburu tu!!
 
Ana shida gani yeye ameshapata bahati ya kuwa rais..
Labda tumpumzishe.
Yy anakula anashiba. Hamjui mwenye njaa.
Mwafwaa#
na hili ndo sababu ya yote... yeye anakula vizuri, anastarehe anavyotaka, familia yake inaishi vizuri, pesa kwake sio shida... hata kama ni mimi siwez kutoa ajira... nina shida gani..!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…