Rais Magufuli pandisha madaraja ya mishahara watumishi wa Umma, ni haki yao

NIFEDIPINE

Senior Member
Aug 16, 2013
199
250
Pandisha madaraja ya mishahara watumishi wa umma kuanzia August 2013 na 2014. Watumishi hawa wanasubiri tamko lako ili wapande madaraja mishahara yao iongezeke. Viongozi wanasubiri useme kitu ili wapitishe. Toa tamko maana ni haki yao kupanda madaraja na ulisema hujakataza kupanda madaraja

Vijana wako wakipita hapa naamini watakufikishia ujumbe. Watumishi hawa wamekaa miaka 6 mpaka 7 bila ya kupanda daraja ili hali maisha yakipanda.
 

Luthertz

Senior Member
Mar 7, 2018
193
1,000
Wagombea hawa wawili lazima walindwe

Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA apewe ulinzi wa kutosha ili asije shambuliwa tena.

Mgombea urais kupitia chama cha CCM apewe ulizi wa ziada siyo tu dhidi ya maadui bali hata dhidi yake mwenyewe yaani asipate hata nafasi ya kula sumu ya panya au kujitundika. Tuna jambo letu naye, anatakiwa awepo hai ili atueleze kuhusu ayfuatayo:
  • ndugu zetu walio tekwa na kupotea
  • watu waliopigwa risasi
  • Watu wasio julikana
  • Upotevu wa fedha za umma
  • Gharama halisi za ununuzi wa ndege
 

gspain

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
2,325
2,000
Wagombea hawa wawili lazima walindwe

Mgombea urais kupitia chama cha CHADEMA apewe ulinzi wa kutosha ili asije shambuliwa tena...
dah huyu Meko mtamtoa roho bure kila 'kundi' lina jambo lake 28 oct.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom