Rais Magufuli: Nimemtuma mzee Pinda China kuniwakilisha kwenye kumbukizi la mwalimu Nyerere, namuamini.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,961
141,959
Rais Magufuli amesema waziri mkuu mstaafu mzee Pinda ni mtu mnyenyekevu tena mwenye uzalendo wa kweli.

Rais Magufuli amesema amemtuma mzee Pinda nchini China akamuwakilishe kwenye kumbukizi la mwalimu Nyerere kwa kuwa anaamini ndiye mtu anayeweza kumuwakilisha vizuri.

Rais ameyasema hayo wilayani Mpanda alipokuwa anazungumza na wananchi wa mkoa wa Katavi katika mkutano wa hadhara.

Source TBC
 
Lugha ni tatizo kubwa kwa Jiwe.

Hivi mtu Kama Mzee Pinda Waziri Mkuu mstaafu anamwomba akumuwakilishe au anamtuma?

Nadhani anaoweza kuwatuma nu mawaziri wake na wengine. Wastaafu anatakiwa kuwaomba kama wana nafasi.
 
Pinda Ni.muumini Sana wa ujamaa na maendeleo ya kilimo vijijini.

Hiyo safari inamfaa
 
Lugha ni tatizo kubwa kwa Jiwe.

Hivi mtu Kama Mzee Pinda Waziri Mkuu mstaafu anamwomba akumuwakilishe au anamtuma?

Nadhani anaoweza kuwatuma nu mawaziri wake na wengine. Wastaafu anatakiwa kuwaomba kama wana nafasi.
Rais anaomba?..........labda wa TFF lakini siyo Rais wa nchi na hii ni duniani kote......Rais ama anatuma au anaagiza na mara chache anashauri!
 
Lugha ni tatizo kubwa kwa Jiwe.

Hivi mtu Kama Mzee Pinda Waziri Mkuu mstaafu anamwomba akumuwakilishe au anamtuma?

Nadhani anaoweza kuwatuma nu mawaziri wake na wengine. Wastaafu anatakiwa kuwaomba kama wana nafasi.
Kumtuma mtu Hadi hotuba unamwandikia kumwakikisha mtu Ni tofauti.Pinda katumwa
 
Ataendaje na akati hajui chochote zaidi yakujua takwimu zabarabara na samaki kwenye maji...unavoenda kumwelezea nyerere hutakiwi pengine kugusa kabisa maswala ya road...kidogo mpigwe tu naamin anaweza fiti kimtondo ila ilikua bora zaidi angemtuma profesa shivji
Kwa nini asiende mwenyewe?
 
Ataenda kufufua mradi wa ujenzi wa bandari ya bagamoyo.

Huyo no, no, no asiende.
 
Nimeamini kujua lugha za wengine ni mtaji acha niendelee kujifunza Kisukuma huenda zali linanidokea..mwadila,mwangaluka,mola sana...taratibu ndio mwendo!
 
Back
Top Bottom