Rais Magufuli, Ni kigezo gani kilitumika kurudi kwa Muhongo kwenye uwaziri?

...hapo kwenye comment yako nyuma umetoka kumtukana technically matusi yote yanayoendana na IQ yako, ukimtetea huyo waziri eti hawezi kuzuia ongezeko la gharama kwasababu hiyo siyo kazi yake ni kazi ewura
na kwamba eti waziri yeye ni mwanasiasa tu... sasa technically kakuonyesha heading ya gazeti inamuonyesha waziri akifoka kwamba umeme hautaongezeka na ewura wasimjaribu na kwamba yeye ndie mwenye mamlaka na maamuzi ya mwisho... baada ya kugundua maharisho uliyoandika, kuwa ulichoandika kinakinzana na waziri unayemtetea (except hapo kwenye kejeli, matusi na dhararau), unakuja sasa hapa na comment ya kinafiki... ohoo sijui tuwaulize wataalamu, sijui tujifunze kujenga hoja... unajua maana ya hoja wewe... ptuuuuuuuuu, uko shule mnaenda kusomea ujinga!?
Duu kamanda. Nawewe umehara hapa kama sijui nini. Mwenye hoja ya msingi anajulikana na mwenye hoja ya unafiki na akutaka ili mradi kumchafukia mtu bila sababu anajulikana.ndio maana nilimu attach Technically. Lakini usijali la msingi tujenge hoja ambazo hata mhusika akizisoma anaona hapa kuna issue ya ku discuss. There will never be a solution for the kind of style we are using. Its terrible my friend
 
Shida yako kweli ni kushabikia ccm hata kwenye mambo ya msingi
 
Fedha za escrow kama zilivyo za EPA kazi yake ilikuwa moja. Kugharamia kampeni za ccm uchaguzi mkuu 2015. Hakuna kitakachotokea.
 
Tumezoea kuona uvunjaji wa katiba na sheria kutoka kwa utawala wa awamu ya 5.

Hivi kwanini kunyoosha nchi kusianzie kwenye mikataba mibovu?

Muhongo alifukuzwa kwa sababu ya escrow scandal na Tibaijuka kwa escrow scandal.

Sasa kwa nini Muhongo arudi kwenye baraza wakati Tibaijuka hakurudi? Au kwa vile yeye na wengine walichotea pesa Stanibic bank na hawakutajwa?

Leo hii IPTL inalipwa milioni 400 kwa siku halafu wananchi wanapandishiwa umeme kwa asilimia 8.5 Muhongo akiwa ndiye msimamizi wa kuongezeka kwa umeme huo bila sababu yeyote ya msingi .

Wakati IPTL wanajulikana ni wezi na wasumbufu wa nchi hii walifanikiwa kuchota bilioni 320 kutoka tegeta escrow.

Halafu waliosababisha wakina muhongo upo nao kwenye cabinet tena kibaya zaidi wizara hiyo hiyo..

Halafu unategemea jipya wakati huyu jamaa ndio alisema pesa si za umma. Sasa kama pesa hazikuwa za umma kwanini zinataka kulipwa Mara mbili tena chini ya Tanesco ambayo ni shirika la umma?.

Hivi Rais anapambana na wizi upi wakati wezi ndio hawa wanatamba mtaani.

Nyoosha nchi kwa kuwakamata matapeli wa nchii hii wanajulikana

Sio kuangaika na Lema na Max

Mafisadi yamekushinda.
Democrasia limekushinda
Uchumi umekushinda
Mikopo kwa vijana wetu imekushinda
Ajira zimekushinda.

Yaani kila kitu ni hovyo hovyo tu ndani ya serikali nyoosha nchi kwa kuyakamata mafisadi acha kulilia na wezi..
Well said
 
Ukweli ni kwamba kwa kuzingatia mjadala wa Escrow ulivyokuwa ndani na nje ya Bunge, Profesa Muhongo hakupaswa kurejeshwa katika nafasi hiyo. Kilichofanyika ni dharau dhidi ya Bunge na wananchi. Aidha, haikuwa kumtendea haki Muhongo mwenyewe. Kama kuna watu wanadhani Muhongo ataleta mabadiliko wanaota ndoto japo hazitawasababisha waende mahabusu!
 
Kinacho fanyika kikundi kidogo wakati wa JK walikuwa hawana thamani ndo sasa wanamkomoa JK kwa kweli muhongo hafai kabisa.
 
Ukweli ni kwamba kwa kuzingatia mjadala wa Escrow ulivyokuwa ndani na nje ya Bunge, Profesa Muhongo hakupaswa kurejeshwa katika nafasi hiyo. Kilichofanyika ni dharau dhidi ya Bunge na wananchi. Aidha, haikuwa kumtendea haki Muhongo mwenyewe. Kama kuna watu wanadhani Muhongo ataleta mabadiliko wanaota ndoto japo hazitawasababisha waende mahabusu!
Well said mkuu ....

Wanatengeneza mkakati wa kumsafisha .........
 
Tumezoea kuona uvunjaji wa katiba na sheria kutoka kwa utawala wa awamu ya 5.

Hivi kwanini kunyoosha nchi kusianzie kwenye mikataba mibovu?

Muhongo alifukuzwa kwa sababu ya escrow scandal na Tibaijuka kwa escrow scandal.

Sasa kwa nini Muhongo arudi kwenye baraza wakati Tibaijuka hakurudi? Au kwa vile yeye na wengine walichotea pesa Stanibic bank na hawakutajwa?

Leo hii IPTL inalipwa milioni 400 kwa siku halafu wananchi wanapandishiwa umeme kwa asilimia 8.5 Muhongo akiwa ndiye msimamizi wa kuongezeka kwa umeme huo bila sababu yeyote ya msingi .

Wakati IPTL wanajulikana ni wezi na wasumbufu wa nchi hii walifanikiwa kuchota bilioni 320 kutoka tegeta escrow.

Halafu waliosababisha wakina muhongo upo nao kwenye cabinet tena kibaya zaidi wizara hiyo hiyo..

Halafu unategemea jipya wakati huyu jamaa ndio alisema pesa si za umma. Sasa kama pesa hazikuwa za umma kwanini zinataka kulipwa Mara mbili tena chini ya Tanesco ambayo ni shirika la umma?.

Hivi Rais anapambana na wizi upi wakati wezi ndio hawa wanatamba mtaani.

Nyoosha nchi kwa kuwakamata matapeli wa nchii hii wanajulikana

Sio kuangaika na Lema na Max

Mafisadi yamekushinda.
Democrasia limekushinda
Uchumi umekushinda
Mikopo kwa vijana wetu imekushinda
Ajira zimekushinda.

Yaani kila kitu ni hovyo hovyo tu ndani ya serikali nyoosha nchi kwa kuyakamata mafisadi acha kulilia na wezi..

Mafisadi yaliyotufikisha hapa Watanzania kwa dili za umeme na Wakubwa wenu wakatangaza na kuyaanika
kwa mbwembwe Leo huyajui kweli......? So funny....
 
Back
Top Bottom