Rais Magufuli ndiye Rais anayeongea lugha nyingi duniani, 83 za ndani na 3 za kimataifa

Azungumze kwa ufasaha na kwa lafudhi mujarab Kiswahili tuu,ili tujue uwezo wake
Kiingereza tumsamehe bure
Ki- Chato azungumzie kwao
 
Imekusaidia nini kwa kuzungumza hizo lugh?baada ya kufanya ya mbolea wananchiwanufaike unatuletea cfa za kijinga peleka huko wanakozitaka,tuNatKa ajira,mikopo mil50,na hivyo viwanda hizo lugha ongea na............o
 
Lugha zote hizo bila kupandisha ung'eng'e hazihusu kitu katika dunia ya leo. Awamu zote nne hawakuwa na Phd lakini ung'eng'e kama kawa huyu mwenye Phd ung'eng'e HOLAA! Hii Phd hmmmmm!

Eti anaweza kuongea kiingereza lol! Kwi kwi kwi kwi kwi sasa kinachomuogopesha kusafiri ni kipi!?

Magufuli ni Rais pekee duniani hadi leo au inawezekana asitokee mwingine kama yeye mwenye uwezo mkubwa wa kuongea lugha zisizopungua 87 kwa ufasaha,katika lugha za ndani pekee Magufuli anaweza kuongea lugha 83 kwa ufasaha wa hadi asilimia 95 katika scale ya lugha huku akiongea lugha 3 za kimataifa.

Rais Magufuli pia ana uwezo mkubwa wa kuongea Kiswahili kama lugha yake ya asili (mother tongue) huku akiwa ana uwezo pia wa kuongea lugha ya Kinyarwanda na Kirundi (Rwanda-Rundi language) yenye wazungumzaji zaidi ya milioni 50 ukanda huu wa maziwa makuu.

Pia Rais Magufuli ni mahiri sana katika kuongea lugha ya kiingereza huku wataalamu wa lugha wakisema uwezo wake wa kuongea lugha hiyo inamuweka katika nafasi moja na Rais Mstaafu Mkapa.

Chanzo: Hapa na Pale Blogu
 
Hahahaaaa aaaaahhhh haaaaaa...Juma katika ubora wake( by the way ubora yeye hutamka 'ubola')!
 
Back
Top Bottom