Rais Magufuli, naomba usitupeleke huku...

Rais Magufuli, naomba usitupeleke huku...

musibabaishwe na magufuli huyo ni msanii kama walivyo wasanii wengine wa kibongo na kwa kweli TZ ina kipaji cha wasanii
CCM wazee wangu imejegwa kwa misingi ya Ufisadi na wizi na ujambazi hawezekani hata siku moja Huyo magufuli awashughulikiye Mafisadi na wezi na majambazi atakuwa anakishughulikiya Chama chake cha CCM
 
Back
Top Bottom