Rais Magufuli nakushangaa sana

Rais Magufuli nakushangaa sana

Nguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Una uhakika
 
Afadhali mara 100 nikachinje mbwa kuliko kupoteza muda kuombea "shetani!"

Dhamira kuu:KUFANYA WATU WAISHI KAMA SHETANI.

YEYE kama ni shetani anataka wafuasi! Wanao muunga mkono ni mashetani pia!

I have never seen/heard of any parents wishing their children the worst.
Kiongozi wa mashetani huwa ni shetani it means mawe ni shetani
 
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,

Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua

Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,

Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa

Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,

Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,

Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama

Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo

Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani

Wazalendo Tumuombee,
Tatizo alifikiri kuzuia mikutano ya siasa na maandamano ndio atawanyamazisha watu amesahau dunia iko enzi nyingine ambayo mikutano ya siasa na maandamano ni kitu kidogo sana. Sasa hivi watu wanasema na kumsema sana kuliko hata kwenye hiyo mikutano na maandamano anayoyaogopa. Ulimwengu wa sasa wanasema ogopa Mungu na technolojia. Hilo nadhani muheshimiwa halijui hivyo anajilisha upepo kuwa amewasilence wapinzani wake kumbe ndio wameongezeka mara dufu na wanaongea publically kuliko kwenye hiyo mikutano na maandamano.
 
TATIZO NI PALE MNAPOLALAMIKA WAKATI TISS, POLISI, MAGEREZA, UHAMIAJI NA JESHI VYOTE MALI YENU KWANINI MSIWAKAMATE WAKATI TAYARI MNAO USHAHIDI? PIA BUNGENI MNAO WABUNGE WENGI, KWANINI MSIPELEKE HOJA YA KUFUTA VYAMA VINGI ILI MBAKI WENYEWE ASIWEPO WA KUWASUMBUA?
 
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,

Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua

Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,

Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa

Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,

Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,

Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama

Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo

Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani

Wazalendo Tumuombee,

Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Rais anayewatukana wananchi wake na kuwaua lakini hawakati tamaa ana raha sana
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua

Rais anayeagiza vyombo vya ulinzi toka rwanda kukandamiza demokrasia lakini watu wake kimyaa ana raha ya kufa mtu
Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,

Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa
Rais anayekagua hata account za makanisa na waumini kimya!! ana raha ajabu

Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,

Watanzania wameumbwaje kuendelea kukaa kimya ndugu zao wakiuawa kama wanyama na kuzamishwa baharini na wengine wakitoweshwa hovyo hovyo na vyombo vya rais huyu?

Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,

Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama

Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo

Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani

Wazalendo Tumuombee,

Uvumilivu wa watanzania ni zaidi ya vitu visivyoishi ni mawe!! Eti kupigwa na kuambiwa usilie usiseme usiandike na usiviambie vyombo vingine vyovyote!!
 
4a62f76530bfeb6e3adf09cd98ded822.jpg
2c2b1abebe212b6d111127042fd90efa.jpg

Kazana kutetea, siku sio nyingi utapewa cheo.
 
Tatizo alifikiri kuzuia mikutano ya siasa na maandamano ndio atawanyamazisha watu amesahau dunia iko enzi nyingine ambayo mikutano ya siasa na maandamano ni kitu kidogo sana. Sasa hivi watu wanasema na kumsema sana kuliko hata kwenye hiyo mikutano na maandamano anayoyaogopa. Ulimwengu wa sasa wanasema ogopa Mungu na technolojia. Hilo nadhani muheshimiwa halijui hivyo anajilisha upepo kuwa amewasilence wapinzani wake kumbe ndio wameongezeka mara dufu na wanaongea publically kuliko kwenye hiyo mikutano na maandamano.
pumba tupu na wala hamtofanikiwa.
 
Nguvu kubwa inatumika kuonesha huyu jamaa kwamba ni malaika ...kwaio hakosei kila afanyacho ni perfect..bila kusahau [HASHTAG]#roho[/HASHTAG] mbaya na husuda, wivu kila kitu ni huyu malaika wa mleta mada
Kweli huyo sio Malaika ila
Anakazi ya kuwafanya mashetani waendelee kuishi motoni.

Na walioanza kujikweza kushushwa
Waliogeuka mawe kusagika
Kna kusagika kwa Mawe tena yanavunjika vipande

Matokeo ya dhambi ya unafiki na dhuruma iliyokuwa imetawa Tz imetufikisha hapa.

Huyo jamaa ni mfano wa picha ya ukombozi wa walioonewa
Ingawa wakombozi wenyewe bado hawajakalia kiti.

Naami huyu ni huyu anatenda kile kinachofanana na mawazo yenu ya 2007
Natambua hafanyi vizuri vilivyo akilini mwa wajuaji zaidi waliojaa Tz.

Hatendi mnayoyayafikili yangetendeka.
Hatendi matakwa ya wanaompinga

Lakini.....ametusaidia kuwafahamu watu upande wa pili.

Ametusaidia kupima kiwango cha lami cha unafiki wa watz
Kweli

Ni mbaya ila vijogoo vya mjini wamepotea. Vifaranga vinazunguka kwa raha.

Mapapaaa....wapi...kule
Pedesheee...nani. ...wapi

Wadunguaji wapi kule.
Nyumba sita wake 8 wapi kule.
Sifurahii hali ilivyo ila
Acha iwe tuvuke. Kiwano kingene
 
Kashasema hatageuka nyuma, waache waendelee kupiga mayowe.. Magufuli ndio Chaguo SAHIHI KWA SASA
 
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,

Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua

Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa

Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,

Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa

Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,

Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,

Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama

Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo

Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani

Wazalendo Tumuombee,

Hiyo instagram ingezuiwa na wewe usingepata nafasi ya kuandika haya mawazo mfu!
 
Mshamba ww na waliokutuma!
 
Mabadiliko hayazuiliki, ameshindwa kutuletea mabadiliko aliyotuhaidi tutamwonyesha mabadiliko tunayoyataka.
 
Tukanyage kwa adabu ardhi ya muumba
 
Back
Top Bottom