britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 17,211
- 41,788
Namshangaa Rais wa jamhuri ya Tanzania,
Wachache wanatumia gharama na nguvu kubwa mno kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza kwenye media kumchafua,
Watu wana engineer mauaji na kuyareport kimataifa eti yamefanywa na serikali yake,kumbe wao wenyewe,
Watu wamewekeza kwenye forums mbali mbali kumchafua
Watu kila kona kwenye vyama vya siasa wao wamejikita kumkatisha tamaa
Watu wamewekeza media za kimataifa kumchafua yeye hakati tamaa mfano DW, na FXFM ya Canada,
Makanisa hasa ya walutheri ambao mhehsimhes mmoja aliwahi kuwaambia ni zamu Yao ya urais , nao wako busy kumkatisha tamaa
Hiyi kiumbe kaumbwaje? Hakati tamaa na sioni dalili yoyote Ile ya kukata tamaa,
Nadhani Una kiwango cha uvumilivu kinachozid Hata cha mwalimu Nyerere,
Scenario: Tukio la vyama vya siasa kukureport vibaya kimataifa angekuwa Nyerere angeshafu vyama
Sugu angepelekwa kigamboni Badala ya uko mbeya alipo
Instagram Isingeruhusiwa nchini , kama ambavyo hairuhusiwi baadhi ya nchi Kwa sababu ya mtu Fulani
Wazalendo Tumuombee,
Haimaanishi kwamba Mimi ni CCM kusema haya au nafutahia mauaji yanayeendelea nchini
Swali: Je, shushushu(mwanausalama) akihitilafiana na raia wa kawaida hawezi tumia mbinu za kazi yake kumshughulikia?
Wala sifurahii na baadhi ya mambo kama ili
Ihungo bil 10,Nyakato bil 2?uharibifu ulitofautiana?status za hizi shule si ziko sawa?au tamthilia? Tusaidiane
Salamu za sikukuu kwa Mheshimiwa Rais Magufuli, Mungu alegeze palipo kaza
Frustrations tu: Waziri wa Mambo ya Nje akiwa Rais ni misele ya nje kila siku, ukichagua wa ujenzi ni kuvunja nyumba tu