The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,433
- 13,417
Hebu niwape huu ukweli mchungu ambao hata Rais wangu pekee Mh Dr John Pombe Magufuli anatakiwa aambiwe asubuhi ,mchana na Jioni.
1.Sisi ni nchi masikini sana
-Nikimaanisha bila misaada hatuna uwezo hata wa kulipa mishahara wafanyakazi (watumishi wa umma) akiwemo rais ,pia ukitaja nchi kumi masikini zaidi kumi Tanzania imo kwa mujibu wa mashirika tofauti tofauti
Hivyo tupunguze kuwa over protective na kujifanya wakali kimsingi hekima ya masikini hata kibiblia hudharauliwa ,ukweli ni kwamba hatuwezi kuendelea bila kushirikiana na mataifa tajiri kwa akili tele ,ngoja nifunguke TANZANIA INAZIHITAJI SANA NCHI TAJIRI KULIKO ZENYEWE ZINAVYOIHITAJI TANZANIA ,ALIEKUTANGULIA AMEKUWAHI .
2.Sisi tuna serikali masikini .
-kwa haraka ,Dangote ana miliki mali nyingi kuliko serikali yetu Namaanisha ukichukua mali zote za serikali ukatoa madeni .Mantiki yangu hapa ni kwamba serikali yetu ijikite kuwa yenye kuimarisha utawala bora,mazingira mazuri ya biashara ,ulinzi etc lakini mambo ya kuwekeza kwenye biashara NASEMA HIVI SERIKALI YETU NI MASIKINI haina ubavu huo .Yenyewe ijikite kwenye miradi ya uwezeshaji kama miundo mbinu ,elimu na teknolojia mambo ya kununua bomberdier iachane nayo yenyewe ijenge viwanja bora vya ndege ipunguze utitiri wa makodi na urasimu wafanyabiashara wakiona kuendesha ndege kunalipa wataleta ndege za kumwaga ,sitaki kutetea fast jet lakini ile ilikuwa inaakisi maana ya kuinua wanyonge .
3.Tanzania sio nchi ya amani wanao sema neno hilo ni watawala tu.
-Amani ni scientific phenomena ,imaweza kupimwa kama unavyoweza pima ndoa yenye amani au isiyo na amani kuna vigezo ambavyo wasomi dunia nzima wanakubaliana ni vigezo vya msingi vya amani,(sitataja demokrasia na uhuru wa maoni ) ntaharibu u-neutral wa hoja ntakuwa ni mpinzani natumiwa na mabeberu ,au nikiegamia serikali mtasema mimi sio kamanda ,fisadi ,ninatumiwa etc ,Amani tunaipima kwenye utendaji wa mahakama ,je iko huru ? lishe bora ,kiwango cha elimu ya uraia ,mahusiano na mtizamo wa jamii dhidi vya vyombo vya usalama ,je ni wa kirafiki? kiwango cha rushwa ,Leo hii sierra reone iliyotoka vitani imetuzidi amani ,na jalibu google source Global Peace Index - Wikipedia za nchi kumi zenye amani africa asilimia 90% hawaitaji kabisa Tanzania hivyo TANZANIA HAINA AMANI IN AWANANCHI WAJINGA AMBAO NI WATULIVU KWA HULKA (UTULIVU SIO AMANI),Hivyo tunatakiwa tujitathmini tunakwama wapi na tutambue tumerudi nyuma kwa kudnganyana eti sisi ni kisiwa cha amani.
3.Tanzania sio nchi tajiri kwa maliasili kwa kiwango mnachodanganyana
-Nchi inayoongoza Kwa mali asilia duniani huwa ni urusi inakadiliwa mali yao ya deposit za madini ,misitu,maziwa etc ni 75 tillion dollars ,Tanzania kwa africa ni ya saba na takwimu zingine hata haziitaji ,maana yangu ni nini hapa (nia) kuwaambia kuwa wawekezaji ni watu wa kulea kama yai nje ya Tanzanite hakuna kitu tanzania ambacho hakipo huko duniani ukisema mashamba ,hamuwakuti zimbabwe ,zambia wala kongo,ukisema wingi wa chuma hatumo hata top ten africa hata uganda wanatuzidi Iron ore in Africa - Wikipedia ukitaja almasi hiyo williamson ya 11 The 25 Most Famous Diamonds Mines of the World | Diamonds ExaminerJamani hawa watu wana mbadala wa maana cha msingi tuache kudanganyana ,mpaka leo ukikaa vijiwe vya kahawa watanzania wanasema hakuna usalama wa taifa bora kama wa Tanzania unamuuliza alikudanganya nani hana source ,ukipanga majeshi imara kumi afrika kwa takwimu mbalimbali letu halipo haya makujiamini yanaturudisha nyuma jijueni makamilifu na mapungufu yenu mtasonga mbele