Rais Magufuli na Mkewe watembelea Muhimbili, amtembelea Mzee Ngosha

Wakudadavuwa

JF-Expert Member
Feb 17, 2016
17,506
15,997
Rais Magufuli na Mkewe wamjulia hali mtoto aliyekuwa akila maziwa, mafuta na sukari

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 28 Mei, 2017 amewajulia hali wagonjwa waliolazwa katika wodi ya Mwaisela iliyopo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili na kuwashukuru Madaktari na Wauguzi kwa juhudi kubwa wanazofanya kunusuru maisha ya watu.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu. Wakwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Mtendaji wa Hospitali ya Taifa ya Muhimbili Profesa Lawrence Museru pamoja na Dkt. Juma Mfinanga Daktari Bingwa wa magonjwa ya Dharura na Ajali katika hospitali hiyo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Mzee Francis Maige Kanyasu(Ngosha) aliyelazwa Wodi ya Mwaisela katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya Matibabu

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali mtoto Shukuru Kisonga aliyelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili. Mtoto Shukuru alikuwa akidaiwa kuishi kwa kula Sukari, Maziwa na mafuta ya kula lakini hali yake imeimarika zaidi na kuanza kula vyakula vya kawaida. Katikakati ni Mama yake Shukuru Mwanahabibi Mohamed Mtei.
 
Kazi nzuri ya vyombo vya habari and frankly speaking CMG and ITV japo wanahisiwa kuwa kinyume na serikali,!
 
Hiyo picha ya juu kabisa mama jane anacheka tuu juujuu lakini moyoni inaonyesha ana mzigo mkubwa sana
 
Safi sana ilatunaomba uifikirie sana hiyo hospitali kwani ni ya taifa zima. Big up president
 
Hiyo picha ya juu kabisa mama jane anacheka tuu juujuu lakini moyoni inaonyesha ana mzigo mkubwa sana
Mmeanza maneno yenu ya Tandale kwa mtogole.

Wivu tu umewajaa.Ndiyo kwanza maisha mwenzenu anachanua na kunawiri.
 
Hivi hii nayo ni habari? Makamera kibao na Press Release kisa katembelewa Ngosha!

Give us break.
 
Kazi nzuri ya vyombo vya habari and frankly speaking CMG and ITV japo wanahisiwa kuwa kinyume na serikali,!
Kuna kurugenzi ya mawasiliano ikulu huwa inasambaza habari hizi,acha kuwapa ITV ujiko wasiostahili
 
Aboreshe huduma za afya nchini.. sio raia wote wana uwezo wa kufika muhimbil
 
"The comforter in chief" hana muda wa kwenda kuwafariji wafiwa wa ajari Arusha wala mafuriko kagera zaidi ya kula rambirambi zao.....Hivi Ngosha ni msukuma?
 
Back
Top Bottom