Rais Magufuli na Mkewe wamtembelea Kardinali Pengo Muhimbili

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,658
55,487
CXoXY8kWAAApOVf.jpg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakimjulia hali Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Katoliki la Dar es salaam katika Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete iliyopo katika hospitali ya Taifa ya Muhimbili leo January 1, 2016.

Kardinali Pengo alilazwa hospitalini hapo jana jioni kwa ajili ya kufanyiwa uchunguzi wa afya yake.
 
Last edited by a moderator:
CXoXY8kWAAApOVf.jpg

Rais Magufuli na mkewe wakimjulia hali Kadinali Pengo anayefanyiwa uchunguzi wa afya yake Muhimbili.

pole sana kwa kiongozi wangu wa Kikatoliki nchini Tanzania Baba Kadinali Pengo na natumaini Mwenyezi Mungu atamsaidia na atarejea katika hali yake ya kawaida kwani bado WAKATOLIKI wenzake tunamuhitaji sana tu. kitu kingine kweli leo nimeamini ule UTAFITI wa KISAIKOLOJIA kwamba wapenzi wawili wanapopendana halafu upendo wao ukiwa ni wa DHATI na UMEBARIKIWA na Mwenyezi Mungu basi ni lazima tu WATAFANANA. ukimwangalia Rais wetu KIPENZI Dr. Magufuli na Mkewe Mama wa Taifa letu kwa sasa Janet utagundua kuwa hakika WAMEFANANA na WANAPENDEZA mno. mimi na demu wangu sasa tuna mwaka wa saba ( 7 ) lakini sura yake ni yake na yangu ni yangu na " No MFANANO ".
 
akampe pole na sheikh ponda.

ataenda tu mkuu wala USIHOFU na uzuri ni kwamba Rais wetu huyu haishi maisha ya " FILAMU " au ya " Bongo Movie " bali yupo MKWELI kutoka moyoni mwake na rohoni kwake. katika mwaka ambao Watanzania tumefanya USAJILI wa UHAKIKA na MZURI hasa katika nafasi ya Urais basi ni ule wa mwaka jana 2015 kwa kumchagua Rais Dr. John Pombe Joseph MAGUFULI.
 
Wamwahishe Roma akapatiwe matibabu

post yako hii ina HARUFU ya UNAFIKI na SANIFU kama si KEJELI pia. anza mwaka kwa kuwa na ADABU basi na unaonyesha wewe huna hata HOFU ya Mungu na ni MFUASI pengine mzuri tu wa LUCIFA.
 
pole sana kwa kiongozi wangu wa Kikatoliki nchini Tanzania Baba Kadinali Pengo na natumaini Mwenyezi Mungu atamsaidia na atarejea katika hali yake ya kawaida kwani bado WAKATOLIKI wenzake tunamuhitaji sana tu. kitu kingine kweli leo nimeamini ule UTAFITI wa KISAIKOLOJIA kwamba wapenzi wawili wanapopendana halafu upendo wao ukiwa ni wa DHATI na UMEBARIKIWA na Mwenyezi Mungu basi ni lazima tu WATAFANANA. ukimwangalia Rais wetu KIPENZI Dr. Magufuli na Mkewe Mama wa Taifa letu kwa sasa Janet utagundua kuwa hakika WAMEFANANA na WANAPENDEZA mno. mimi na demu wangu sasa tuna mwaka wa saba ( 7 ) lakini sura yake ni yake na yangu ni yangu na " No MFANANO ".

Kwa kifupi kuhusu wewe na demu wako ni kwanba si mke na mume hivyo huwezi jilinganisha na Mh JPM, baadaye utataka ufanane na mchepuko
 
Watanzania mambo ya imani yana hatari sana, kama jambo la imani fulani liko hapa, na haliendani na kile unachoamini, wewe pita kimya sio lazima uharibu.
 
Last edited:
pole sana kwa kiongozi wangu wa Kikatoliki nchini Tanzania Baba Kadinali Pengo na natumaini Mwenyezi Mungu atamsaidia na atarejea katika hali yake ya kawaida kwani bado WAKATOLIKI wenzake tunamuhitaji sana tu. kitu kingine kweli leo nimeamini ule UTAFITI wa KISAIKOLOJIA kwamba wapenzi wawili wanapopendana halafu upendo wao ukiwa ni wa DHATI na UMEBARIKIWA na Mwenyezi Mungu basi ni lazima tu WATAFANANA. ukimwangalia Rais wetu KIPENZI Dr. Magufuli na Mkewe Mama wa Taifa letu kwa sasa Janet utagundua kuwa hakika WAMEFANANA na WANAPENDEZA mno. mimi na demu wangu sasa tuna mwaka wa saba ( 7 ) lakini sura yake ni yake na yangu ni yangu na " No MFANANO ".
Ni kweli mkuu, mambo mengine wakati mwingine si rahisi kuelezeka!!!
 
Back
Top Bottom