Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
mbona kipind cha jk hawakuandika .
why kipind hiki tu ...
 
Mbona hukuzungumza hayo kipindi cha JK
Mimi sijawahi kushabikia udini.

Nilikuwa nawakemea akina Kahtaan, Faizafoxy na wenzao kipindi hicho kutoendekeza udini.

Mimi ni mkristo, nina ndugu waislamu, marafiki waislamu, wafanyakazi wenzangu & wakuu wa kitengo waislamu & tunaishi vyema.

Ninapoona mtu anapost uchochezi kama huu, siwezi kumshangilia.

#TUKEMEE UPUUZI HUU#
 
Daaah nimesomaweeeee nimeshindwa kumaliza ngoja ntamalizia usiku wakati natafuta usingizi.
 

With all due respect, dude, I think you have got to be rational and more broad-minded! I am sorry that you spent too much time writing about nothing! Mwalimu Nyerere foresaw, and warned us of, this type of political bankruptcy.
 
Aaaahh! Huyu nae, anataka kutupeleka wapi Watz? Hulka yetu Watz ni hijalishi paka ni mweusi, wabuluu, mweupe au wa kijani ilimradi anakamata panya, basi. Uchapa kazi na uadilifu ndo sifa kuu.
 
Nimekuelewa,ilakuna watu wanauzi, ndio mana na mimi napata hasira,ila nimekupata mkuu
 
Gazeti likiongea jambo la maana linafungiwa. Haya Al Nuur hiloo katika ubora wake. Mhishimiwa Nape, vipi hapo? Udini huo
 
Jamiiforum mada Kama hizi kwa nini maziruhusu wakati katiba inaseme serikali haina dini. Huu Ni ujinga na uchonganishi kwa nini asiseme Kama walio chaguliwa hawana sifa hili la dinu halikubaliki ktl taifa na dunia iliyo staarabika
 
n kwel ila czan kama iko n mashiko sanaa kwa time hii
 
Hv mfumo kristo waarabu wangekuwa matajiri hapa Tanzania Madon WA sukari wote waarabu achakulalamika Fanya kazi na utiebidii kwenye elimu
 
Kwa hiyo ubaguzi wa vyama sawa ila wa dini ndio kuna shida? Hiyo ndiyo inaitwa divide n rule
 
Ndugu zangu Waislamu,ni lini mtaacha ulalamishi?kote duniani ulalamishi hsukuleta suluhu bali uhasama.tuache rais afanye kazi yake nasi bila kujali dini zetu popote tulipo tuonyeshe bidii ilisasa hata ikifika wakati rais akawa mwislamu na akawa na wateule wengi wa upandemmoja tuhoji.kikwete hakubalansi mkapa pia mwinyi pia ht nyerre nae alifanya hivyo pia.
 
Tatizo la maustaadh kama wewe na Mohamed Said ni kwamba wakati wa uchaguzi mko upande wa CCM. Mnafanya kila mbinu na hila ishinde. Lakini ikishinda kama aliyeshinda si mwenzenu mnaanza chokochoko. Mie siwezi kuwahurumia, endeleeni kuisoma namba maana mnaichagua wenyewe.

Sisi wengine tunapenda CCM ipumzike ili tupate kuijenga upya nchi yetu. Tukate mizizi yote ya ulaji ili tuanze upya na watoto wa maskini waingine ndani ya mfumo wa neema. Kikwazo kikubwa ni nyie maana mnapiga kelele sasa ila wakati wa uchaguzi mpo pamoja na chama chenu.

Kwa ushahidi kuwa wewe ni mtu wa chama twawala, rejea makala yako hii :
Upofu wa ukawa hili group la wezi lowasa hajalikana popote
 
Hakuna haja ya wakristo na waislamu kujengeana chuki sababu ya vyeo vya kisiasa. Vyeo vya kisiasa mara zote ni vya kujuana. Wote tunajua ili uwe Mkuu wa Wilaya au Mkoa, azima uwe kada wa CCM. Tena sio kila kada anapata. Ndo maana wengine tulupenda katiba mpya ili hivi vyeo watu wagombee au vifutwe. Tatizo la watanzania, kwenye mambo ya msingi kama katiba na uchaguzi huwaoni, ila kwenye manun'guniko kama haya ndo wanajaa tele. Tulieni tu, ndo kwanza hata mwaka hajamaliza.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…