Rais Magufuli na mfumo Kristo

Status
Not open for further replies.
Namuona kama ni muumini mzuri kwa dini yake picha inaanza kanisa la chato m10,arusha sikumbuki ml ngapi,kwa mzee wa upako ahadi,teuzi aah!
 
Yani huyo aliyeandika hii makala ingekuwa ni Korea Kaskazini mda kama huu kwenye vyombo vya habari kwa pale chini ungekuta kuna maandishi ya red yanasomeka

BREAKING: NEWS

hapo ikiashiria kuna mjinga kasha nyongwa!


[emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji2] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Wakristo wanapendelewa sana na hakuna kazi wanayofanya huko maofisini zaidi ya wizi
 
Acha ujinga wewe mfumo kristo upo ofisini wamehazana wakristo tu na hakuna kazi yoyote ya maana wanayofanya
 
Tatizo ni hili ambalo hata mh jk aliwahi kuliongelea waislamu mnaipa kipaombele elimu ahera na kuisahau elimu dunia kwa hiyo usishangae. Na nchi hii haina udini sasa hizo propaganda zako sijui zinatokea wapi
hiyo elimu dunia ya wakristo imesaidia nini taifa?
 
Aaa naona aulizwe mwenyewe ndio anajua. Kuingia kanisani au msikitini sio kuwa muumini. Wengine majambazi wanaingia huko pia.
 
Haya majamaaa kama mabwege,mmebebwa miaka kumi yote tumenyamaza,,sasa hvi mmesahaulika kwenye teuzi mbili tatu mnasema mnaonewa,,,,sijui ni watu wa namna nyie
 
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] good good!
 
Jenga hoja kwenye nchi yako, Zanzibar ni nchi jirani!
 
pitia majina kaka, nimeona majina mengi ya kiislamu pale,
why are we even debating on this?
competency ndio inaangaliwa sio dini, hata wakiwa Islam tupu au Christians tupu kama wapo competent sioni tatizo
toa upuuzi hapa waislamu wako wachache sana wamejazana wala kitimoto tu acha uongo
 
sasa kama ni mkristo au muislamu au asiye na dini ww inakuhusu nn...?!!!...usiwe kiazi ndugu yangu acha upumbavu
 
Mikusanyiko ya kidini nje ya nyumba za ibada nanipigwe ban...hapa.jf pia admin piga ban hii kitu. Haina afya yoyote watu wanashabikia udini huku watoto wanakalia matofali.
 
tuangalie uwezo wao kaka, dini yenu inasema m demand kupewa vyeo vya kisiasa? maana yetu imesema tuwe wavumilivu na kupenda wanaotudharau na kutubagua kwani kuna maisha mengine zaidi ya haya ya dunia
hebu tuambie hao wakristo walioteuliwa wana uwezo gan? Hakuna kitu hapo ni mfumo kristo tu unaendelezwa
 
Ingekuwa Ukatoliki ndio kigezo Kasim Majaliwa MWISLAMU asingekuwa waziri mkuu wala Samia Suluhu ambaye ni mwislamu asingekuwa makamu wa Raisi.

Hapa kazi tu haiangaliwi dini ya mtu
YEHODAYA nani kasema Majaliwa muislam
 
Wakati tunaipinga ccm kuingia ikulu ulikua upande w ccm,Leo ndiyo umetambua?kwa mini kila miaka unakubali kuhadaiwa na ccm kama wanavyofanyiwa bakwata???
assadsyria3 Ritz FaizaFoxy
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…