Rais Magufuli na Libya

aisee nimehisi machozi kutoka
 
It is of my opinion, hii ndio mipasho as opposed to hoja aliyopost NN.
Uje na hoja fafanuzi kuonesha ni wapi mtoa mada hajasema ukweli!
Huijui historia ya Libya Juu ya kilichomuondoa Gaddaf Madarakani. Kwahiyo kukupa ufafanuzi katika kitu ambacho hukijui ni kuupoteza muda wangu.

anachokikumbusha Rais ni kitu cha muhimu katika uhuru, amani na umoja wetu Watanzania. Kuchukua mfano kutoka Libya ni kutaka kuwakumbusha wenye akili ndogo kama ninyi ni vipi LIBYA ilikuwa wakati Gaddafi na vipi ipo kwa wakati huu na kipi kilikuwa CHANZO. usijitie ujinga
 
Namiss sana kanali gadafi sana....in no way anaweza kufananishwa na kiongozi yyte wa afrika ya sasa!
 
Ukitakat kumjua asiyejua kitu ni kupitia maandishi yake kwamba anawa judge watu uwezo akali hawajui hata sura hii inaitwa (defensive mechanism)!
Ok tuache hayo, wewe wasema ya kwamba siijui historia ya Libya je mlibya wewe?

Basi amini amini nakwambia, ajidhaniaye kasimama ajiadhari asianguke!
 
Nchi ili iweze kuendelea pasipo shaka lazima udikteta utumike ,,mfn Libya,U.S,Uk,Russia,Israel,Egypt,Cuba,Venezuela na nyingine nyingi tu,udikteta ulitumika.Hivyo basi JPM ana malengo mazuri na Nchi yake
Kabisa kabisa unasifia u dicteta au nimesoma vibaya ?! Hayo maendeleo yanayojengwa ndani ya u dicteta hayawezi kuwa ya manufaa na ya kudumu e.g. hiyo Libya yenyewe.

Kwetu hapa u dicteta haifai kabisa na utairudisha nchi nyuma zaidi
 
Demokrasia kama waliyoipata Walibya? Kabla ya uchaguzi mlikuwa mnadai nini na sasa mnadai nini?
Leo sisi waTz tunajifanya kujua shida za Libya kuliko wa Libya wenyewe ??!!. Kama Libya imefika hapo ni kwa sababu ya u dicteta wa Gadafi kutoona umuhimu wa mawazo mbadala ya walibya wengine kwa kufanya utawala kuwa ya familia moja.
 
Mkuu,
Kwanza nakupa Likes 500 kwa hili bandiko lako. Huyu jamaa anayejiita Bab.oon Ngabu ni katika watu ambao ni Watupu kuliko Utupu wenyewe mkuu. Ninashukuru sana kumbe kuna watu wengine mnamuona kwa Utupu wake. Na ninashangazwa na JF siku hizi ukiandika ukweli au kuwakosoa mtu kama huyu Nyani wanakupa Ban. Ila wao wana uwanja mpana wa kukashifu na kutukana wengine bila kuchukuliwa hatua yoyote. Ila nimefarijika kwa uzi wako huu wenye busara.
Wasalaam...
 
Nikishaamua nimeamua Sirudi nyuma!
 
Wanaomsema Gadaffi na udikiteta ni watu mbumbumbu sana,hakuna nchi katika Afrika iliyokuwa inatumia keki ya taifa vizuri kama Libya.hadi mazungu yakaona wivu.mikakati ya kumjengea fitna Gadaffi iliratibiwa na kutekelezwa na mataifa ya magharibi. NATO ndiyo iliyoendesha mgogoro wote,na hatimaye kuuwawa kwa huyu kiongozi aliyekuwa na ndoto za kuiunganisha Afrika. na kisa hasa hapa ilikuwa ni mafuta ya Libya yamilikiwe kwa 100%na mazungu.
 
hata wanaomtetea hawana hoja ya kumtetea tena alichoifanyia nchi hi ni kufukuza vibaka huku akiwachekea majambazi
 
Ni mda mchache ujao ataanza kumsifia kim jong na mugabe
 

Ukitaka kumjua mtu na tabia yake angalia RAFIKI zake
 
Wewe mtoa mada ivi we kwa upeo wako mdogo kwa hali ilivyo sasa Libya na enzi za utawala wa marehem GADAFI ni saw?wao wenyewe walibya walitaka kumpa nchi Mtoto wake walomfunga gerezani lakin akawatolea nje,now wanapata tabu Kama watu waishio nyikani nn bora sasa tabu wanayoipata now au walichokua wakiishi chini ya GADAFI?jaribu kuangalia mada kabla ya kuileta mezani,we unaweza ukatoa sababu kumi za kumwita GADAFI dicteta Kama utakua nazo basi unaweza ukanishawishi niamini kuwa RAIS MAGUFULI NI DICTETA.
 



U don't know muamar gadaffi he is a leader who destabilized most of the sahel region aliunda makund ya wapiganaji washambulie nchi za chad na Niger kwa kutumia Africa legion (wapiganaji wa kukodi) he even associated with the likes of IDD amin etc
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…