Rais Magufuli na CCM Mkutanoni!

Rais Magufuli na CCM Mkutanoni!

Mafisadi leo tutajua hatima yao ndani ya uongozi wa chama
 
Ujinga ni kunyima watu kutumia Uwanja wa Ushirika Kuaga Mwili wa Mzee Ndesamburo,alafu unageuza Ikulu Ghofu la Wanyang'anyi,Wachawi,Wazandiki na Watu Wasiojulikana.
Usifananishe mambo yasiyofanana
 
GENTAMYCINE mkuu,kwani amelazimishwa?

Hivi luna timu bora,kubwa na yenye mafanikio hapa nyumbani,Afrika kama Yanga!?

Oya Mkuu hivi unajua nakuheshimu sana lakini? Katika vitu ambavyo navichukia na sivipendi ni kuona mahala popote pale neno la Yanga kwani ni moja ya Klabu ambayo naichukia duniani na kama ' Magaidi ' wangekuwepo nchini Tanzania halafu watafute Mtu wa kujitoa mhanga akalipue lile Jengo pale mitaa ya Jangwani na Twiga Mimi GENTAMYCINE ningekubali mara moja.
 
Hivi huo ukumbi wao huko dodoma walijenga wa kazi gani?
 
Kumbe Ikulu kuna kumbi zinakodishwa kwa shughuli binafsi za kichama n.k?
Ikulu iko chini ya Chama tawala...
hata hivyo kama una shughuli yako unataka kuifanyia ikulu fuata utaratibu wa kuomba utakubaliwa
 
Ikulu imeshakua jumba la wanyang,'anyi duu mungu tusaidie tuvuke haya mapito
 
Hao ndiyo wenye CCM wengine ni maccm uchwara hasa mnaotusumbua humu jf na bandle za kuunga unga

Wamependeza si wazee wala vijana kuanzia nguo mpaka ngozi ya mwili

Vijana wa Lumumba watokwa mapovu sijawaona hapa kwenye picha za pamoja na sizonje
 
Ccm.magufuli akiondoka mtamkumbuka sana.sidhani kama mtapata tena nafasi ya kufanyia vikao vyenu ikulu.
 
Hivi kumbi za ikulu zinakodishwa kwa sh ngapi???Tujuzane maana kuwa na fursa na kushindwa kuitumia ni tatizo sn
 
Sijui anaumwa nini amekaa sana india halafu lumumba walianza kutudanganya mara kinana AHUDHULIA MKUTANO WA VYAMA TAWALA WA JUMUIA YA KUSINI YA AFRIKA Sijui bado yuko kulekule hata hapo pichani sijamuona.
 
Ikulu iko chini ya Chama tawala...
hata hivyo kama una shughuli yako unataka kuifanyia ikulu fuata utaratibu wa kuomba utakubaliwa
Siwezi kufanyia kikao kwenye jumba analoishi mtesi wa wazalendo wa Nchi hii.

Mnaplot mauaji ya wanao wakosoa mkiwa kwenye jengo kuu la taifa?!
 
Back
Top Bottom