Online Pastor
JF-Expert Member
- Sep 7, 2017
- 1,948
- 1,524
GENTAMYCINE mkuu,punguza chuki,basi hili kombe la msimu wa 2017/2018 tutawagaieni na nyie mlionje hata kidogo,maana nahisi hizo hasira zaweza kuwa sababu ya kulikosa miaka mitano mifululizo!
Usijari mtani,nakuheshimu pia,tutunziane heshimu!
Much respect!
Usijari mtani,nakuheshimu pia,tutunziane heshimu!
Much respect!