TUJITEGEMEE
Platinum Member
- Nov 6, 2010
- 27,685
- 28,801
Nashauri aendelee kutumia nembo hii. Ile ya rangi nyekundu itumike kwa siku maalumu tu. Hasa siku zakukumbuka mashujaa wetu wa bara la Afrika na wengine waliojitolea kulisaidia bara hili ambao siyo waafrika.