Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,468
- 23,744
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.
Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.