Rais Magufuli mtizame kwa makini sana Mwigulu Nchemba

Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Nilishasema sipangiwi
 
Kwenye serikali hii hatutaki wanafki. Pia wakati wa Mwigulu utekaji wa raia ulikuwa umeota mizizi kama ule mhimili ulioenda chini zaidi.
 
Tuache masiala kabisa! Yani unasoma PhD ili uje kuomba vyeo vya kisiasa? Cheo kitakufata chenyewe acheni kulialia. Nje ya ubunge mwigulu aoneshe kipaji chake kwa kutoa elimu ya kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja jimboni kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Inaonyesha huko shuleni, alikuwa anakariri tu, ili afaulu mitihani, lakini alikuwa HAELIMIKI!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Vyeo havitolewi kwa sababu tu umatetea mtu Fulani, Kama nafasi zingekuwa zinatolewa kwa vigezo hivyo basi kola mtu hapa angekuwa kiongozi
 
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Kuna post yake ya juzi anamtuhumu Zitto kupiga dili na Kangi. Kweli aangaliwe jamani maana anaweza ku punch.
 
Nakuomba Mh Rais. Mtizame kwa jicho la huruma Mwigulu Nchemba kiukweli anajitahidi sana kukutetea. Usimwache hivi hivi. Ni kijana anayejitoa hasa katika mambo ya utetezi wa jambo ambalo anaamini litamsaidia.

Zipo nafasi kadhaa usimwache hivi kwa muda mrefu mwangalie kwa jicho la huruma jinsi alivyo na moyo wa kukupambania please usimsahau maana umewapa nafasi akina simbachawene ambao hata hatuwasikii sana wakitokwa na povu kwa ajili yako.
Kaachwa 'yule' licha ya umahiri wake ktk kunengua tena kwa kiwango kilichotukuka sembuse 'huyo'?

Ifike mahali uelewe kutoa povu jingi sio kutakatisha nguo, yawezekana ikawa ni kulowesha tu nguo ichelewe kukauka tena kwa nyakati hizi, mwenye shuka moja hafui jioni maana litashindwa kukauka na atajifunikia ngumumi tu.
 
Tuache masiala kabisa! Yani unasoma PhD ili uje kuomba vyeo vya kisiasa? Cheo kitakufata chenyewe acheni kulialia. Nje ya ubunge mwigulu aoneshe kipaji chake kwa kutoa elimu ya kukuza uchumi wa mtu mmoja mmoja jimboni kwake.

Sent using Jamii Forums mobile app
PhD Za kisiasa hizo. Hazina impacts kwenye real life. Wengi wenye shahada hizo ukiwatoa tu kwenye mfumo wa uongozi,umewamaliza. Siji kumsahau yule RC nadhani wa Moro aliyelia lia kuwa amekosa yeye..amekosa sana...dah, matumizi mabaya ya PhD
 
Mwigulu hana ujanja bila madaraka. Yeye huko kwao ndio tajiri kwakuwa alikuwa waziri, hivyo kitendo cha kuwa nje ya uwaziri utajiri wake umeisha, na anaona hata heshima yake imepungua.

Bila madaraka atakufa?
Jamani CCM na Serikali yake ina hazina kubwa ya vijana wenye nguvu na uwezo wa kiuongozi - Mwigulu ni sehemu ya watu hao lkn si lzm wakati wote awe kiongozi.

Yeye aendelee kutimiza wajibu wake wa kibunge - kama asipopata madaraka awamu hii ijayo atapata.
 
Narudia tena, hana ujanja wowote nje ya madaraka, kama angekuwa na hiyo jeuri ya nje ya madaraka usingemuona akijipendekeza hivyo. Hao vijana wa ccm ni wapi wenye jeuri na maisha mazuri nje ya madaraka?
 
Ndio maana siku hizi hafumaniwi na wake za makada wa CCM kama kule Igunga? Kumbe ukidume ule ilikuwa nguvu ya madaraka?
Ila makada wa CCM wanatia huruma, kumbe wakubwa wakiwa maeneo yao wanawapatia "my wife" wao kuwa kiburudisho? Au ili kuwa Sera za Mwigulu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom