Rais Magufuli mteuwe Paul Makonda awe waziri TAMISEMI

makonda huyuhuyu mpiga kelele au makonda yupi? mi ningeshauri hata atenguliwe maana hana cha kufanya kiende mbele
Si bora yeye mpiga kelele, wewe usiyepiga kelele umesaidia nini Taifa lako?
 
IMG_20160702_173157.jpg


waziri bila kufuata sheria za barabarani.kwanini asifunge mkanda?ok WAZIRI WA TAMISEMI.

swissme
 
Amekulipa za kutosha hivi huyo makonda kuwakamata mashoga, omba omba basis anafaa kuwa Waziri? Ndio maana nchi hii chini ya ccm maendeleo yataendeleavkuwa ndoto kwani wenye akili kama zako mpo wengi
 
Subiri ampige tena Warioba ktk mchakto wa katiba mpya utakapoanza tena atapata uwaziri.
 
Naomba utupe taarifa ya haya: 1. Walimu kusafiri bure kumefia wapi? 2. Mabenki yaliwataja akina nani waliokuwa wanapokea mshahara hewa? 3. Uchafu umeisha Dar?. Maendeleo hayaletwi na matamko. Heri Meya wa jiji ambaye hapotezi muda kwenye media kutoa matamko bali yeye ni vitendo tu. Sio makonda mpenda sifa za public
 
nikikumbuka ile mada ya ndalichako halafu baada ya siku kadhaa akaukwaa uwaziri,hata huyu mda si mrefu anaweza akahudumu hiyo wizara,magu na jf dam dam
 
Bado anatakiwa kupata uzoefu,Dar mambo yanaenda kwa vile kuna taasisi kubwa,na kada za wafanyakazi na wafanyabiashara ni wengi.
TAMISEMI,ni dude kubwa linalobeba mambo mtambuka!
Na ieleweke,Mikoa,Wilaya na Halmashauri zinasimamiwa na TAMISEMI,na kuna majungu fitna na vitisho kutoka ngazi zote zenye Mamlaka mbalimbali ya kiutawala!
 
makonda huyuhuyu mpiga kelele au makonda yupi? mi ningeshauri hata atenguliwe maana hana cha kufanya kiende mbele
Toka Makonda atangaze vita dhidi ya ushoga amepata upinzani sana...

Tumuombee sana mkuu wa mkoa...
 
ni kweli kabisa maana Makonda anatamani ateuliwe na RAIS kuwa Rais.
"DC atakayeshindwa kazi atahamishiwa Wilaya nyingine," Makonda
 
Unajua hata kama unamchukia mtu mpongeze huo ndio uungwana! Makonda ana qulities za uongozi na ndio maana mambo yanakwenda. Eti ooh Dar-Es--Salaama sijui kuna makampuni makubwa sijui what.. what... sijui huyu kijana wa watu amewakosea nini kwa kweli? Napata mashaka. Qualities alizonazo ni pamoja na UTHUBUTU ambao wengi haopa JF hawana ndio maana wanatumia majina Feki. Kama Una uthubutu kama Mheshimiwa Makonda utatumia jina lako halisi, hilo ni no. moja, anabidii ya kazi/ machapakazi. Muwazi , ni influential ( usidhani hii tu ukisimama wewe watu watachangia madawati, usidhani wewe utawaconvince wafanyabiashara wapandishe walimu bure ( na ilikuwa imekwishawezekana kwenye daladala- kama kuna challenge zinatatulika lakini hamkawii kusema ameshindwa ) - hii ni talent aliyonayo! Ni intelligent, ni mtu anayeweza kuishi na walala hoi na wenye uwezo- usidhani hii ni mchezo kuna watu wao wako na wasio nacho tuuu au wako na wenye uwezo tuuu ( tukumbuke wote wana michango) , anaweza changamana na marika yote bila shaka yoyote. mengine malizia wewe msomaji.
 
Back
Top Bottom