Ni ukweli usiopingika kuwa jiji la Dar limepata active leaders and activators, ma meya Ukawa hasa Bwana Jacobo wanaonesha kupiga kazi. Mkuu wao wa mkoa Makonda anapiga kazi inavyotakiwa, hii ni changamoto kwa wazee kuwa Hata baadhi ya vijana wakipewa fursa wanaweza.
Kikwete alifanya la maana kumuibua Makonda kwa kumpa UKUU wa Wilaya ya Kinondoni. Kuna wasomi wengi sana vijijini wana uwezo lakini hawajapata watu wa kuwashika mkono.
Makonda ameshughulikia suala la madawati vema, usafi wa jiji amejitahidi, walimu kusafiri bure kwenye baadhi ya vyombo vya usafiri, Watumishi hewa amejitahidi kuwa tambua na kubana mabenki yataje waliokuwa wakichukua pesa hizo, ushoga na shisha.
Ningeomba Magufuli ampe TAMISEMI ainyoshe sio kwamba aliepo hafai la hasha ila kasi yake ni ndogo ukilinganisha na Makonda huenda akatatua kero za watumishi hasa walimu za muda mrefu, pia akadhibiti watumishi hewa na akasimamia nidhamu kazini.