Jaji Mfawidhi
JF-Expert Member
- Feb 20, 2016
- 14,047
- 20,410
KWANI TABORA WANA BOMOLESHWA?Aiseee rangi zake zimeshaanza kujionyesha, Tabora hawakumpa kura? Mbona Tabora sioni kama kuna upinzani? ndio maana sijasikia akifanya Ziara kwenda mbeya kuongea na wananchi, kimara wamebomolewa kisa upinzani? Huu ubaguzi si mzuri hata kidogo
Endelea kuamini kwa KUSIKIAdaaaaah magu nilikuamini sana lakini kwa hili aseee umeharibu kabisaa
sina hamu tena na uongozi wako
Itakuwa ngumu kushinda 2020 kama kutakuwa na Tume huru ya Uchaguzi lakini kinyume chake ni uchakachuzi tu, cha msingi ni kudai tume huru ya uchaguzi, sasa sijui nani atakayeanzisha hoja, wapinzani wamebanwa na wamejaa uwoga, wangejipa moyo mgumu njia ni nyepesi kwani ukiangalia kwa makini na kauli mbalimbali ya Mkulu ni mwoga tu.
Mkuu me ni mpenzi wa "lugha".
Ninapenda sana kufuatilia sentensi iliyopo mezani na kuifanyia kazi muda huo.
Nilitaka kuona hilo neno "kutumwa", je limetumika mahali pake?
Mara mwisho halmashauri kuu ya ccm ilivyokaa walisema anamuuguza mwanae huko nje ya nchi, suala kutumwa matibabu India halipo tena.Still not informed. Hint : Kinana alitumwa matibabu India