mkuu hawa ndio aina vijana wa mbowe alionao
akipewa hiyo kaki nane watakuja tena kulalamiki eti hawezikan aishi kwa hela ndogo hivyo lazima atakuwa mla rushwa tu ..
bado nyingianakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
kwa hiyo marais kama akina obama pamaoja na kulipiwa kila kitu bure unataka kusema hawalipwi hata kidogo
you are kidding brother super kidding
anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Fursa tumia fursa mkuu....Magufuli haishi Kwa mazoea.Hivi clouds fm na serikali kuna nini?? Kwanini hajatumia vyombo vya habari vya taifa.
Moderator,anakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu
Rais anaangalia clouds TV badala ya TBC...Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
Mahaba niue. Ukweli siku hizi unaitwa unafiki.Moderato
Moderator,
Tafadhali wasaidie wachangiaji kuwa na staha. Maneno ya mchangiaji huyu yamekosa staha.
Ukimaliza hesabu piga9500000 per year 114,000,000
9500000 per 5 years 570,000,000
9500000 per 10 years 1,140,000,000
HAPA KAZI TU.
Rais Dkt. John Pombe Magufuli ametaja mshahara wake kuwa ni Tsh mil 9.5, huku akiahidi atatoa Salary slip zake punde akitoka mapumzikoni Chato.
Hiyo imetokea wakati wa kipindi cha magazeti leo tarehe 01/04/2016 ambapo watangazaji walisoma habari iliyoandikwa na gazeti la nipashe kuwa Zitto na Lissu waomba ataje Mshahara wake na ukatwe kodi.
Wakiwa katika mjadala huo, walipokea taarifa kuwa Rais kawasikia na katuma taarifa ofisi za Clouds kujuza mshahara wake kuwa ni mil 9.5 na atatoa stakabadhi zake akirudi Dar.
Huo ndio mshahara alioukuta na hata Rais Kikwete alikuwa akilipwa kiasi hicho pia.
Chanzo: Clouds 360 Asubuhi hii.
Ya kweli haya?! yule jamaa yetu wa msoga yeye alikuwa anakunja 192m us dollar kwa mwaka sawa 36 m tsh kwa mwezi!. basi magufuli ni mzalendo
Hiyo ni wivu class A mkuuanakula bure, analindwa bure, nashauri apunguziwe na kulipwa laki nne kwa mwezi, vinginevyo naye mnafiki tu