Phillemon Mikael
Platinum Member
- Nov 5, 2006
- 10,590
- 8,724
hii ni ramli labda uweke vithibitisho kama sio viambataKwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ww unakiherehere na ni mchocheziSiasa zimekwisha na Uhuru katangazwa Rais tayari hata kama..kuna..madai na udhibitisho wa wizi wa kura kama ambavyo ulikuwapo huko nyumbani mwaka 2015
Urais ni taasisi na ukiwa hapo unasimamia maslahi mapana ya taifa na sio yako ...inawezekana ulitaka Raila kama ulivyotaka Kagame ashinde..na..pengine unaugulia mapesa uliyompelekea kama rafiki yako,lakini kwa kiti ulichokalia hunyimwi kuwa na rafiki lakini kama mkuu wa nchi TUMA PONGEZI KWA UHURU..haina maana yeye haelewi...una...mapenzi binafsi
Rais wa Tanzania anapochelewa kutuma pongezi inavuruga..diplomasia na urafiki wetu na undugu na Kenya .
Iweje ichukue chini ya dakika 20' baada ya matokeo kutoka kumpongeza Kagame...lakini asubuhi inafika hatujatuma salamu Kenya
Tanzania sio Mali..binafsi ya mtu .
Tunajua kuna madai ya utatu wa kuunda Bahima Empire...ndio inafanya baadhi ya viongozi kufanya unafiki na hawakutaka Uhuru ashinde.
Kwa ndugu zetu Wakenya na kwa Uhuru tunaomba msichukulie kuchelewa kwa salam..rasmi za nchi kuwa hatuwatakii mema ,tunawapenda sana ...na tunaomba Uhuru asichukie watanzania kwa ajili ya mtu mmoja
Tena wapo serious kweli mitandao yote....JPM atampongeza Uhuru kama protocol zinavyotaka ....sijui wanashangilia nini? ....Bavicha bhana, wamepoteza credibility kwa watanzania wanaanza kudandia vitu havina impacts kwao!
Wanachofanya chadema ni kusteam out frustration zao kwa kupitia Kenya!!!!!! As if Kenyatta kushinda kutawaongezea kipato chao Tanzania .Ni Sawa na mtu anayesifia mke wa jirani yake kuwa ni mzuri wakati wake mbaya kupindukia.Bavicha bhana, wamepoteza credibility kwa watanzania wanaanza kudandia vitu havina impacts kwao!
Kwa kweli nawashangaa, walikuwa wakimsapoti Odinga kabla, baada ya JPM kuwa rais na wao kugundua kuwa hawa jamaa ni marafiki japo wa mbali kwani hata Uhuru nae ni rafiki wa JPM ingawa hajapiga nae picha kabla ya kuwa rais basi nao bavicha wakabadili gia angani!JPM asimpongeze uhuru kwa lipi? ....akipongeza msigeuze maneno maana siku hizi mnapinga kila kitu ....alafu badala ya kumsaidia mpinzani mwenzenu mnasaidia chama tawala ....mnategemea wapinzani wa Kenya wawaunge mkono 2020? ....uchaguzi Kenya umeisha ....maisha lazima yaendelee ....lazima uhuru na JPM washirikiane .....
Mbona Kenya ilipokuwa inakaribia kuingia kwenye uchaguzi, tulisikia kauli tata kutoka kwa JPM kuhusu Kenya?Kwa taarifa yako licha ya urafiki kati ya Magu na Odinga bado Magu hamkubali Odinga awe rais.
Sent using Jamii Forums mobile app