Kweli kabisa Mayalla amepambana sana kuliko hata Bashe ni muda wake na sisi wa JF tutoe angalau muwakilishi mmoja. Maana jimbo/wilaya ya Nzega imeshatoa waziri na naibu.
Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.
Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.
Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Alikuwa quoted vibaya.Aliwahi kusema mshahara wa dc yeye ni sawa na kodi anayolipa kwenye office yake hivyo hicho cheo hana mpango nacho
Kwa hiyo apewe cheo gani?Aliwahi kusema mshahara wa dc yeye ni sawa na kodi anayolipa kwenye office yake hivyo hicho cheo hana mpango nacho
Kwahiyo kila anayetea juhudi mitandaoni apewe cheo?Mheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.
Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.
Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
Hata asipoteuliwa ameelimisha wengi humu
Ukizingatia watanzania ni wavivu kusoma hard news tena kwa kimombo
Paschal tatizo lake ni mzee wa kuuma na kupuliza
Mpigie simu umwambie,humu hayupoMheshimiwa Rais, naomba umkumbuke Pascal Mayalla u-DC wilaya ya Ikungi baada ya aliyekuwa mkuu wa wilaya kuteuliwa kuwa mbunge.
Pascal amesaidia sana kulivalia njuga suala la ACACIA vs BARICK kuelimisha wananchi hasa kupitia Jamii forums, hata akina Zitto wanapokuja na hoja zao, amekuwa wa kwanza kuwakosoa na kuwapa vifungu vya kisheria vinavyohusiana na suala hilo.
Pascal amekuwa miongoni mwa watu wachache wanaotetea juhudi zako za maendeleo ya Tanzania, zile fasihi siku hizi hana kabisa.
haiwezekani,yaani na msimu huu wa njaa kali jamani -- eti kaka Paskali ya kweli haya, au hawa wazee wa fitna wameanza kukuzibia riski..yaani kitumbua mezani ugome kukila?Aliwahi kusema mshahara wa dc yeye ni sawa na kodi anayolipa kwenye office yake hivyo hicho cheo hana mpango nacho
Kwa mini unamsahau Msiba,mwenye Magazeti ya kufungia vitafunwa?Kiukweli anastahili kupewa majukumu maana anajitahidi kumsemea mkuu na serikali yake