Hujaelewa mada mkuu, na sidhani kama unaijua Makambako vizuri.Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?
Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?
Acheni utani!
Madanguro ya bibi yako?Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?
Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?
Acheni utani!
Anaongelea nyumba bora, Dodoma kuna nyumba za nyasi na tembe,Makambako pale kwenye vibanda vya ulanzi na madanguro?
Kwa hiyo Makambako pamejengeka vuzuri kuliko Dodoma na Mwanza?
Acheni utani!
Madanguro ya bibi yako?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ninapafahamu Makambako vizuri. Kuna vibanda vya Mpesa, Mabanda ya mbao, gesti bubu, vibanda vya walevi, na maduka.Anaongelea nyumba bora, Dodoma kuna nyumba za nyasi na tembe,
Mkuu tukisema Dar kuna Makazi hovyo hatuongelei ofisi na magorofa ya Posta na kariakoo
Angalia Makazi ya sinza, buguruni, magomeni ni kama taka taka ambazo hazikupaswa watu kuishi,
Hujaelewa mada mkuu, na sidhani kama unaijua Makambako vizuri.
Bangi ameruhusu kwa viongozi na gongo ameruhusu kwa wote sijui nini kingine baadaye. Dangerous popularity!
Bangi ameruhusu kwa viongozi na gongo ameruhusu kwa wote sijui nini kingine baadaye. Dangerous popularity!