Rais Magufuli - Mema Yake Hayaonekani?

Rais Magufuli - Mema Yake Hayaonekani?

Bams

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2010
Posts
19,768
Reaction score
49,934
Sijawahi kuwa mpambe wa Rais, CCM au Serikali. Kati ya mambo yaliyonikera na yanayoendelea kunikera katika awamu hii ni hawa Wasiojulikana. Hawa kazi yao ni kuteka, kutesa, kuua, kuwaonea na kuwatengenezea watu kesi bandia na kupoteza watu. Huu ni unyama wa hali ya juu usiostahili kuwepo katika jamii iliyostarabika na inayotambua maana ya utu wa mwanadamu. Hawa wanaturudisha kwenye primitivity. Hawa wameleta chuki kubwa miongoni mwa raia na raia dhidi ya Serikali.

Jana tumeambiwa ndege yetu imekamatwa kule South Afrika kwa amri ya mahakama. Mitandaoni kwa maoni ya wengi inaonesha kuna wengi waliofurahishwa na tukio hilo!

Mara kadhaa nimetumia ndege za ATCL ndani na nje ya nchi. Kuna mema mengi kuiona ndege ya Tanzania nje ya nchi, nawe unaenda kupanda ndege ya nchi yako, tena ndege iliyo nzuri. Unapanda na kwenda moja kwa moja nchini kwako, siyo safari yako ni kwenda Dar, lakini kwanza unazungushwa mpaka Addis Ababa au Nairobi. Unapopanda ndege ya nchi yako, na unaenda moja jwa mojga nchini kwako, unaokoa muda, unatengeneza soko la ajira na bidhaa kwa wananchi wenzako, unatangaza taifa lako na kuna ile proud ya nchi yako pia.

Siwasemei wengine, lakini mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la ndege lenye ndege na linalotoa usafiri wa anga wa uhakika, ulikuwa ni uamuzi mzuri. Mimi ni kati ya wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la reli lenye train za kisasa ni uamuzi sahihi. Mimi naamini tunahitaji usafiri wa majini ulio salama na wa uhakika. Tunahitaji umeme wa kutosha na wa uhakika. Hivi vitu ni vyetu Watanzania wote, siyo vya serikali, Rais au CCM pekee yao. Vinatumia hela yetu sote lakini ili vitendeke ni lazima Wananchi wote tunatakiwa kuwa na ownership ili tuvipende, tuvitunze, tuviboreshe, na tuvihuzunikie vinapokubwa na mikasa.

Kwenye ndege, reli, meli, umeme, nidhamu serikalini, matumizi ya fedha za umma, maamuzi ya haraka, n.k; naipongeza Serikali, nampongeza Rais na nawapongeza Wananchi wote.

Huyu Rais ni binadamu, aweza kufanya makosa, na wakati mwingine ni wakati anapodhamiria kufanya mema. Hilo linapotokea, tusitazame tu yale makosa bali tuitazame ile dhamira yake njema.

Yawezekana kutokana na mambo ya hovyo yanayofanywa na wasiojulikana, yakatufanya kuichukia awamu hii kwa kila jambo hata tukashindwa kuyaona yaliyo mema.

Lakini kwa hakika, kuna mambo ambayo Rais anayasimamia na yanafanyika, ni mambo sahihi. Tunaweza kumlaumu kwa baadhi ya mambo lakini kuna mambo ya msingi kwa Taifa letu anayoyasimamia, tunaweza kuyapuuza leo lakini kuna siku, huenda akiondoka madarakani au atakapoondoka Duniani, tutamkumbuka. Katika yale mema ambayo Rais anayafanya, Mungubayape baraka ili yakapate kuleta faida kwa Taifa letu. Na yale ya wasiojulikana na wasiojulikana, wakapate laana kuu wote wenye kuyatenda na kuyapanga.

Maadui wakubwa wa Taifa letu, kwa serikali, kwa CCM na kwetu wananchi wote, ni hawa Wanaojiita wasiojulikana. Hawa ndio wanaoondoa upendo miongoni mwa wananchi na wananchi walio wengi dhidi ya serikali na watawala.

Hawa wanajua Mbowe, Msigwa, Heche, Mdee, kila siku wanajua wamekula nini, wamelala na kuamka saa ngapi, wameongea na nani na muda gani, wamevaa nini, n.k. lakini hawana uwezo wa kujua ATCL imeshtakiwa, hawana uwezo wa kujua ndege itashikiliwa, hawana uwezo wa kujua korosho hazitauzika, hawana uwezo wa kujua mahindi yakizuiwa kuuzwa nje yatakosa soko, n.k. Hii inatupa ujumbe kuwa, hawa Wasiojulikana wanachokijua ni uovu na siyo kulisaidia Taifa kwa mambo ya msingi kama usalama wa kiuchumi.

Hivi kweli ATCL imeshindwa kuwa na makubaliano ya ulipaji wa madeni yake mpaka kufikia hatua ya kuchukuliwa ndege yetu? Pamoja na yote, ndege yetu kushikiliwa ndani ya nchi rafiki inasikitisha sana! Hawa akina Kabudi hawana diplomasia ya biashara na uchumi? Au wanachojua ni zile diplomasia za miaka ya 60 tu za hata mtu akijikwaa kwenye gogo aliloliwekwa mwenyewe anasema, 'unaona njama za mabeberu na wakoloni!'.

Hii inadhihirisha wazi ukweli ambao wengi wamekuwa wanausema, Rais hana watu sahihi kwa majukumu ya kitaifa. Mara nyingi watu wanaofanya kazi kubwa ya kumsifu boss wao ni wale wenye mapungifu makubwa kiuwezo na ni watu wasiojiamini.

Poleni Watanzania kwa hii aibu ya kidogo chetu kutaka kunyang'anywa.
 
Hata Afrika Kusini enzi zile za makaburu ilijenga miundo mbinu mingi tu, kuizidi nchi yoyote barani Afrika, lakini nchi hiyo ilitengwa na dunia nzima kutokana na tabia zake za ubaguzi......

Hivi Afrika Kusini ya enzi ile ina tofaiti gani na TZ yetu ya sasa??

Hapa TZ ya sasa kuwa mpinzani inaonekana kama mhaini!

Kupotezwa na watu wasiojulikana, kubambikiwa kesi za kuhujumu uchumi na maisha waliyoyazoea hawa wapinzani wetu wa nchi hii

Kila mtanzania anapaswa kwa sasa kukemea kwa nguvu zake zote mtindo huu wa utawala wa serikali ya awamu ya tano, kwa kuwa watanzania kwa sasa tumetia doa kubwa sana huko duniani, kutokana na mtindo huu ulioanzishwa na viongozi wa awamu ya tano, ya kutotaka kufuata misingi ya haki za kibinadamu na kuisigina Katiba ya nchi
 
Yangeonekana pale atakapoacha kutumia mamlaka aliyopewa kwa maufaa yake mwenyewe

TUNATAKA NDEGE YETU HARAKA SANA>
 
Unapoteza muda wako, labda umshawishi Chief Mareale kwanza akikubali, basi wanaoichukia Tanzania yetu na kufurahia matatizo yetu ndo watabadilika, lkn kuongea nao hapa unapigia mbuzi Gitaa.
 
Mabaya yakizidi mema, hata kama yale mema machache ni mazuri kiasi gani maana yake huondoshwa na yale mabaya yaliyokithiri.

Halafu hakuna jambo linalonikera awamu hii kama kulazimishwa kuyaona mema ya Rais, yeye afanye wajibu wake sisi tunaona hata bila kuambiwa.
 
Hata Afrika Kusini enzi zile za makaburu ilijenga miundo mbinu mingi tu, kuizidi nchi yoyote barani Afrika, lakini nchi hiyo ilitengwa na dunia nzima kutokana na tabia zake za ubaguzi......

Hivi Afrika Kusini ya enzi ile ina tofaiti gani na TZ yetu ya sasa??

Hapa TZ ya sasa kuwa mpinzani inaonekana kama mhaini!

Kupotezwa na watu wasiojulikana, kubambikiwa kesi za kuhujumu uchumi na maisha waliyoyazoea hawa wapinzani wetu wa nchi hii

Kila mtanzania anapaswa kwa sasa kukemea kwa nguvu zake zote mtindo huu wa utawala wa serikali ya awamu ya tano, kwa kuwa watanzania kwa sasa tumetia doa kubwa sana huko duniani, kutokana na mtindo huu ulioanzishwa na viongozi wa awamu ya tano, ya kutotaka kufuata misingi ya haki za kibinadamu na kuisigina Katiba ya nchi
Nilikusahau wewe ulivyo na raha kwa ndege yetu kukamatwa! Chuki zote za nini?
 
Sijawahi kuwa mpambe wa Rais, CCM au Serikali. Kati ya mambo yaliyonikera na yanayoendelea kunikera katika awamu hii ni hawa Wasiojulikana. Hawa kazi yao ni kuteka, kutesa, kuua, kuwaonea na kuwatengenezea watu kesi bandia na kupoteza watu. Huu ni unyama wa hali ya juu usiostahili kuwepo katika jamii iliyostarabika na inayotambua maana ya utu wa mwanadamu. Hawa wanaturudisha kwenye primitivity. Hawa wameleta chuki kubwa miongoni mwa raia na raia dhidi ya Serikali.

Jana tumeambiwa ndege yetu imekamatwa kule South Afrika kwa amri ya mahakama. Mitandaoni kwa maoni ya wengi inaonesha kuna wengi waliofurahishwa na tukio hilo!

Mara kadhaa nimetumia ndege za ATCL ndani na nje ya nchi. Kuna mema mengi kuiona ndege ya Tanzania nje ya nchi, nawe unaenda kupanda ndege ya nchi yako, tena ndege iliyo nzuri. Unapanda na kwenda moja kwa moja nchini kwako, siyo safari yako ni kwenda Dar, lakini kwanza unazungushwa mpaka Addis Ababa au Nairobi. Unapopanda ndege ya nchi yako, na unaenda moja jwa mojga nchini kwako, unaokoa muda, unatengeneza soko la ajira na bidhaa kwa wananchi wenzako, unatangaza taifa lako na kuna ile proud ya nchi yako pia.

Siwasemei wengine, lakini mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la ndege lenye ndege na linalotoa usafiri wa anga wa uhakika, ulikuwa ni uamuzi mzuri. Mimi ni kati ya wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la reli lenye train za kisasa ni uamuzi sahihi. Mimi naamini tunahitaji usafiri wa majini ulio salama na wa uhakika. Tunahitaji umeme wa kutosha na wa uhakika. Hivi vitu ni vyetu Watanzania wote, siyo vya serikali, Rais au CCM pekee yao. Vinatumia hela yetu sote lakini ili vitendeke ni lazima Wananchi wote tunatakiwa kuwa na ownership ili tuvipende, tuvitunze, tuviboreshe, na tuvihuzunikie vinapokubwa na mikasa.

Kwenye ndege, reli, meli, umeme, nidhamu serikalini, matumizi ya fedha za umma, maamuzi ya haraka, n.k; naipongeza Serikali, nampongeza Rais na nawapongeza Wananchi wote.

Huyu Rais ni binadamu, aweza kufanya makosa, na wakati mwingine ni wakati anapodhamiria kufanya mema. Hilo linapotokea, tusitazame tu yale makosa bali tuitazame ile dhamira yake njema.

Yawezekana kutokana na mambo ya hovyo yanayofanywa na wasiojulikana, yakatufanya kuichukia awamu hii kwa kila jambo hata tukashindwa kuyaona yaliyo mema.

Lakini kwa hakika, kuna mambo ambayo Rais anayasimamia na yanafanyika, ni mambo sahihi. Tunaweza kumlaumu kwa baadhi ya mambo lakini kuna mambo ya msingi kwa Taifa letu anayoyasimamia, tunaweza kuyapuuza leo lakini kuna siku, huenda akiondoka madarakani au atakapoondoka Duniani, tutamkumbuka. Katika yale mema ambayo Rais anayafanya, Mungubayape baraka ili yakapate kuleta faida kwa Taifa letu. Na yale ya wasiojulikana na wasiojulikana, wakapate laana kuu wote wenye kuyatenda na kuyapanga.

Maadui wakubwa wa Taifa letu, kwa serikali, kwa CCM na kwetu wananchi wote, ni hawa Wanaojiita wasiojulikana. Hawa ndio wanaoondoa upendo miongoni mwa wananchi na wananchi walio wengi dhidi ya serikali na watawala.

Hawa wanajua Mbowe, Msigwa, Heche, Mdee, kila siku wanajua wamekula nini, wamelala na kuamka saa ngapi, wameongea na nani na muda gani, wamevaa nini, n.k. lakini hawana uwezo wa kujua ATCL imeshtakiwa, hawana uwezo wa kujua ndege itashikiliwa, hawana uwezo wa kujua korosho hazitauzika, hawana uwezo wa kujua mahindi yakizuiwa kuuzwa nje yatakosa soko, n.k. Hii inatupa ujumbe kuwa, hawa Wasiojulikana wanachokijua ni uovu na siyo kulisaidia Taifa kwa mambo ya msingi kama usalama wa kiuchumi.

Hivi kweli ATCL imeshindwa kuwa na makubaliano ya ulipaji wa madeni yake mpaka kufikia hatua ya kuchukuliwa ndege yetu? Pamoja na yote, ndege yetu kushikiliwa ndani ya nchi rafiki inasikitisha sana! Hawa akina Kabudi hawana diplomasia ya biashara na uchumi? Au wanachojua ni zile diplomasia za miaka ya 60 tu za hata mtu akijikwaa kwenye gogo aliloliwekwa mwenyewe anasema, 'unaona njama za mabeberu na wakoloni!'.

Hii inadhihirisha wazi ukweli ambao wengi wamekuwa wanausema, Rais hana watu sahihi kwa majukumu ya kitaifa. Mara nyingi watu wanaofanya kazi kubwa ya kumsifu boss wao ni wale wenye mapungifu makubwa kiuwezo na ni watu wasiojiamini.

Poleni Watanzania kwa hii aibu ya kidogo chetu kutaka kunyang'anywa.
Sasa hatuhitaji hayo "mema" unayoyasema kwa gharama ya kumwaga damu ya ndugu zetu, hiyo akili yake ni ya kipumbavu!

Kwani ili kununua ndege ni hadi atake kumwua Lissu?
 
Huyi mtu mambo mazuri anayafanya tatizo lipo kwenye nguvu kubwa inayotumika kumuoba kama vile hakuna kama yeye au hakuna atakaekuja kua kama yeye, yani sifa na mapambio ni mengi mpaka unajiuliza mbona nguvu kubwa inatumika sana kuonesha ni mtu mzuri kwa mfano sasa hivi kila kiongozi wa serikali, chama cha mapinduzi akianza kuongea utamsikia "Serikali ya awamu ya tano ya jamhuri ya muungano wa Tanzania inayoongozwa na raisi John Pombe.........." mpaka unajiuliza kwani nani asiejua huyo ndo kiongozi wa awamu hii, nani asiejua yeye ni raisi..hii hupelekea hata vile vitu vibaya vinavyofanywa i.e kubinya upinzani, kumfanya yeye mungu mtu watu wasishughulike na mazuri wanashughulika na mabaya
 
Siku zote ukiwa sio mtenda haki hata ukifanya mema watu hawataona wema wako
-misingi ya haki ikiharibiwa, Wenye haki watafanyaje nini
 
Inaonekana tuna madeni mengi kisirisiri.
Watanzania tunadaiwa nini hadi ndege yetu ishikiliwe SA?
Lazima "pyu pyu" alambwe mtu hapa
 
Bams hakuna anayemchukia Rais Dkt. Magufuli ila tatizo lake Kubwa ni kwamba Wapambe wake ( Wanaofaidika nae Kipesa / Kiuchumi ) ambao kwa bahati mbaya mno nae ameshakuwa fixed nao na anawaamini wamemlisha Sumu ya Chuki kuwa wale wote wanaomkosoa hawampendi, wanatumika na Mabeberu na si Wazalendo halisi wa nchi hii wakati ukweli ni kwamba Sisi ndiyo tunampenda na ndiyo maana tunamkosoa tukiwa na dhana Moja Kuu kuwa ajitathmini, arudi katika mstari na aongoze vyema.

JPM ni Kiongozi mzuri sana na Mthubutu kabisa na namuunga mkono kwa mambo mengi hasa ya Kimaendeleo ila namshauri tu asipende sana Kutaka Kupongezwa / Kusifiwa huku akiwa anachukia Kukosolewa. Na tatizo kubwa ambalo nimeanza kuliona ni pia ni kwamba tayari Kisaikolojia Rais JPM ameshaathirika na Kukosolewa na badala yake Masikio na Macho yake yanataka tu Kusikia na Kuona kuwa anasifiwa Kitu ambacho ni kibaya na hatari mno Kwake Yeye na Taasisi yake ya Rais.

Nina uhakika Mheshimiwa Rais angekuwa anatenga tu hata muda wake kila Siku kuwa anasoma Mawazo ya Watu hapa JamiiForums ( japo nahisi anawachukia kwakuwa wanamkosoa sana ) basi angeweza kufaidika na mengi ila tatizo sasa imekuwa ni Kinyume chake na sishangai kuna Siku nilimsikia akisema kuwa anatamani hata Mitandao yote itoweke ili afanya Maendeleo huku akiwa amesahau kuwa hata huko Serikalini Kwake Mitandao inatumika mno katika Kuhabarisha na Kuchochea Maendeleo ambayo anayahubiri kila Uchao.

Nitashukuru kama hiki nilichokiandika hapa atafowadiwa na Wasaidizi wake na atayafanyia Kazi. Ila nimalizie tu kwa kusema ( kumwambia ) Rais JPM kuwa awe makini mno na hao Watu wake wa karibu ambao anadhani wanampenda na wanamsaidia wakati ukweli ni kwamba wengi Wao wanamuharibia tu kwa Wananchi huku Wao wakineemeka na Matamko yake / Amri zake ambazo zingine huwa zina madhara makubwa Kwake kama Kiongozi wa nchi. Ajitahidi kuwa Mvumilivu na apende Kuwasikiliza pia Critics wake kwani hata Mwendawazimu huwa kuna muda anaweza akawa anaongea mambo mazuri ya Kukusaidia lakini ukampuuza na baadae yakaja kukuta makubwa na ukamkumbuka.

Nina mengi juu yake ila kwa muda huu naomba niishie hapa Kwanza.
 
Hata Afrika Kusini enzi zile za makaburu ilijenga miundo mbinu mingi tu, kuizidi nchi yoyote barani Afrika, lakini nchi hiyo ilitengwa na dunia nzima kutokana na tabia zake za ubaguzi......

Hivi Afrika Kusini ya enzi ile ina tofaiti gani na TZ yetu ya sasa??

Hapa TZ ya sasa kuwa mpinzani inaonekana kama mhaini!

Kupotezwa na watu wasiojulikana, kubambikiwa kesi za kuhujumu uchumi na maisha waliyoyazoea hawa wapinzani wetu wa nchi hii

Kila mtanzania anapaswa kwa sasa kukemea kwa nguvu zake zote mtindo huu wa utawala wa serikali ya awamu ya tano, kwa kuwa watanzania kwa sasa tumetia doa kubwa sana huko duniani, kutokana na mtindo huu ulioanzishwa na viongozi wa awamu ya tano, ya kutotaka kufuata misingi ya haki za kibinadamu na kuisigina Katiba ya nchi
Hebu sasa kina Msukuma na Kibajaji wamsaidie kiongozi wao ktk nyakati kama hizi kiushauri zaidi hajahahahahahaha
 
Sijawahi kuwa mpambe wa Rais, CCM au Serikali. Kati ya mambo yaliyonikera na yanayoendelea kunikera katika awamu hii ni hawa Wasiojulikana. Hawa kazi yao ni kuteka, kutesa, kuua, kuwaonea na kuwatengenezea watu kesi bandia na kupoteza watu. Huu ni unyama wa hali ya juu usiostahili kuwepo katika jamii iliyostarabika na inayotambua maana ya utu wa mwanadamu. Hawa wanaturudisha kwenye primitivity. Hawa wameleta chuki kubwa miongoni mwa raia na raia dhidi ya Serikali.

Jana tumeambiwa ndege yetu imekamatwa kule South Afrika kwa amri ya mahakama. Mitandaoni kwa maoni ya wengi inaonesha kuna wengi waliofurahishwa na tukio hilo!

Mara kadhaa nimetumia ndege za ATCL ndani na nje ya nchi. Kuna mema mengi kuiona ndege ya Tanzania nje ya nchi, nawe unaenda kupanda ndege ya nchi yako, tena ndege iliyo nzuri. Unapanda na kwenda moja kwa moja nchini kwako, siyo safari yako ni kwenda Dar, lakini kwanza unazungushwa mpaka Addis Ababa au Nairobi. Unapopanda ndege ya nchi yako, na unaenda moja jwa mojga nchini kwako, unaokoa muda, unatengeneza soko la ajira na bidhaa kwa wananchi wenzako, unatangaza taifa lako na kuna ile proud ya nchi yako pia.

Siwasemei wengine, lakini mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la ndege lenye ndege na linalotoa usafiri wa anga wa uhakika, ulikuwa ni uamuzi mzuri. Mimi ni kati ya wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la reli lenye train za kisasa ni uamuzi sahihi. Mimi naamini tunahitaji usafiri wa majini ulio salama na wa uhakika. Tunahitaji umeme wa kutosha na wa uhakika. Hivi vitu ni vyetu Watanzania wote, siyo vya serikali, Rais au CCM pekee yao. Vinatumia hela yetu sote lakini ili vitendeke ni lazima Wananchi wote tunatakiwa kuwa na ownership ili tuvipende, tuvitunze, tuviboreshe, na tuvihuzunikie vinapokubwa na mikasa.

Kwenye ndege, reli, meli, umeme, nidhamu serikalini, matumizi ya fedha za umma, maamuzi ya haraka, n.k; naipongeza Serikali, nampongeza Rais na nawapongeza Wananchi wote.

Huyu Rais ni binadamu, aweza kufanya makosa, na wakati mwingine ni wakati anapodhamiria kufanya mema. Hilo linapotokea, tusitazame tu yale makosa bali tuitazame ile dhamira yake njema.

Yawezekana kutokana na mambo ya hovyo yanayofanywa na wasiojulikana, yakatufanya kuichukia awamu hii kwa kila jambo hata tukashindwa kuyaona yaliyo mema.

Lakini kwa hakika, kuna mambo ambayo Rais anayasimamia na yanafanyika, ni mambo sahihi. Tunaweza kumlaumu kwa baadhi ya mambo lakini kuna mambo ya msingi kwa Taifa letu anayoyasimamia, tunaweza kuyapuuza leo lakini kuna siku, huenda akiondoka madarakani au atakapoondoka Duniani, tutamkumbuka. Katika yale mema ambayo Rais anayafanya, Mungubayape baraka ili yakapate kuleta faida kwa Taifa letu. Na yale ya wasiojulikana na wasiojulikana, wakapate laana kuu wote wenye kuyatenda na kuyapanga.

Maadui wakubwa wa Taifa letu, kwa serikali, kwa CCM na kwetu wananchi wote, ni hawa Wanaojiita wasiojulikana. Hawa ndio wanaoondoa upendo miongoni mwa wananchi na wananchi walio wengi dhidi ya serikali na watawala.

Hawa wanajua Mbowe, Msigwa, Heche, Mdee, kila siku wanajua wamekula nini, wamelala na kuamka saa ngapi, wameongea na nani na muda gani, wamevaa nini, n.k. lakini hawana uwezo wa kujua ATCL imeshtakiwa, hawana uwezo wa kujua ndege itashikiliwa, hawana uwezo wa kujua korosho hazitauzika, hawana uwezo wa kujua mahindi yakizuiwa kuuzwa nje yatakosa soko, n.k. Hii inatupa ujumbe kuwa, hawa Wasiojulikana wanachokijua ni uovu na siyo kulisaidia Taifa kwa mambo ya msingi kama usalama wa kiuchumi.

Hivi kweli ATCL imeshindwa kuwa na makubaliano ya ulipaji wa madeni yake mpaka kufikia hatua ya kuchukuliwa ndege yetu? Pamoja na yote, ndege yetu kushikiliwa ndani ya nchi rafiki inasikitisha sana! Hawa akina Kabudi hawana diplomasia ya biashara na uchumi? Au wanachojua ni zile diplomasia za miaka ya 60 tu za hata mtu akijikwaa kwenye gogo aliloliwekwa mwenyewe anasema, 'unaona njama za mabeberu na wakoloni!'.

Hii inadhihirisha wazi ukweli ambao wengi wamekuwa wanausema, Rais hana watu sahihi kwa majukumu ya kitaifa. Mara nyingi watu wanaofanya kazi kubwa ya kumsifu boss wao ni wale wenye mapungifu makubwa kiuwezo na ni watu wasiojiamini.

Poleni Watanzania kwa hii aibu ya kidogo chetu kutaka kunyang'anywa.
Mkuu na kuheshimu sana Umejijengea heshima hapa jf kwamuda mrefu sana waga nafatilia sana comments zako sijui umechomolewa betri au umepatwa na nini anyway mkuu awamu hii sio wasiojulika pekee hawa jamaa wameua uchumi makusudi mazima kwaubishi biashara zimefungwa Sekita binafi ziko juu ya mawe kwakisingizio cha wapiga dili watu uswahili maisha ni magumu sana kupita awamu zote zilizopita Kazi hakuna Kodi ziko juu sana kila kukicha magari ya matangazo ya kodi tena kodi zenyewe zakero tupu kila kona usumbufu watu tunaishi kama wakimbi ndani ya nchi yetu kila kundi kwenye jaimii limebatizwa kwa moto wafanya biashara wakulima wafanyakazi wastaafu ukienda kwenye taasisi za umma ndio usisema ni mateso sana mkuu swala la kupanda ndege moja kwamoja bila kwenda Kenya au Ethiopia au Rwanda mbona Fastjet walilimaliza tatizo ilo tena kwa garama ndogo ya nauli ukilinganisha na ATCL.
 
Sijawahi kuwa mpambe wa Rais, CCM au Serikali. Kati ya mambo yaliyonikera na yanayoendelea kunikera katika awamu hii ni hawa Wasiojulikana. Hawa kazi yao ni kuteka, kutesa, kuua, kuwaonea na kuwatengenezea watu kesi bandia na kupoteza watu. Huu ni unyama wa hali ya juu usiostahili kuwepo katika jamii iliyostarabika na inayotambua maana ya utu wa mwanadamu. Hawa wanaturudisha kwenye primitivity. Hawa wameleta chuki kubwa miongoni mwa raia na raia dhidi ya Serikali.

Jana tumeambiwa ndege yetu imekamatwa kule South Afrika kwa amri ya mahakama. Mitandaoni kwa maoni ya wengi inaonesha kuna wengi waliofurahishwa na tukio hilo!

Mara kadhaa nimetumia ndege za ATCL ndani na nje ya nchi. Kuna mema mengi kuiona ndege ya Tanzania nje ya nchi, nawe unaenda kupanda ndege ya nchi yako, tena ndege iliyo nzuri. Unapanda na kwenda moja kwa moja nchini kwako, siyo safari yako ni kwenda Dar, lakini kwanza unazungushwa mpaka Addis Ababa au Nairobi. Unapopanda ndege ya nchi yako, na unaenda moja jwa mojga nchini kwako, unaokoa muda, unatengeneza soko la ajira na bidhaa kwa wananchi wenzako, unatangaza taifa lako na kuna ile proud ya nchi yako pia.

Siwasemei wengine, lakini mimi ni miongoni mwa wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la ndege lenye ndege na linalotoa usafiri wa anga wa uhakika, ulikuwa ni uamuzi mzuri. Mimi ni kati ya wanaoamini kuwa uamuzi wa kuwa na shirika la reli lenye train za kisasa ni uamuzi sahihi. Mimi naamini tunahitaji usafiri wa majini ulio salama na wa uhakika. Tunahitaji umeme wa kutosha na wa uhakika. Hivi vitu ni vyetu Watanzania wote, siyo vya serikali, Rais au CCM pekee yao. Vinatumia hela yetu sote lakini ili vitendeke ni lazima Wananchi wote tunatakiwa kuwa na ownership ili tuvipende, tuvitunze, tuviboreshe, na tuvihuzunikie vinapokubwa na mikasa.

Kwenye ndege, reli, meli, umeme, nidhamu serikalini, matumizi ya fedha za umma, maamuzi ya haraka, n.k; naipongeza Serikali, nampongeza Rais na nawapongeza Wananchi wote.

Huyu Rais ni binadamu, aweza kufanya makosa, na wakati mwingine ni wakati anapodhamiria kufanya mema. Hilo linapotokea, tusitazame tu yale makosa bali tuitazame ile dhamira yake njema.

Yawezekana kutokana na mambo ya hovyo yanayofanywa na wasiojulikana, yakatufanya kuichukia awamu hii kwa kila jambo hata tukashindwa kuyaona yaliyo mema.

Lakini kwa hakika, kuna mambo ambayo Rais anayasimamia na yanafanyika, ni mambo sahihi. Tunaweza kumlaumu kwa baadhi ya mambo lakini kuna mambo ya msingi kwa Taifa letu anayoyasimamia, tunaweza kuyapuuza leo lakini kuna siku, huenda akiondoka madarakani au atakapoondoka Duniani, tutamkumbuka. Katika yale mema ambayo Rais anayafanya, Mungubayape baraka ili yakapate kuleta faida kwa Taifa letu. Na yale ya wasiojulikana na wasiojulikana, wakapate laana kuu wote wenye kuyatenda na kuyapanga.

Maadui wakubwa wa Taifa letu, kwa serikali, kwa CCM na kwetu wananchi wote, ni hawa Wanaojiita wasiojulikana. Hawa ndio wanaoondoa upendo miongoni mwa wananchi na wananchi walio wengi dhidi ya serikali na watawala.

Hawa wanajua Mbowe, Msigwa, Heche, Mdee, kila siku wanajua wamekula nini, wamelala na kuamka saa ngapi, wameongea na nani na muda gani, wamevaa nini, n.k. lakini hawana uwezo wa kujua ATCL imeshtakiwa, hawana uwezo wa kujua ndege itashikiliwa, hawana uwezo wa kujua korosho hazitauzika, hawana uwezo wa kujua mahindi yakizuiwa kuuzwa nje yatakosa soko, n.k. Hii inatupa ujumbe kuwa, hawa Wasiojulikana wanachokijua ni uovu na siyo kulisaidia Taifa kwa mambo ya msingi kama usalama wa kiuchumi.

Hivi kweli ATCL imeshindwa kuwa na makubaliano ya ulipaji wa madeni yake mpaka kufikia hatua ya kuchukuliwa ndege yetu? Pamoja na yote, ndege yetu kushikiliwa ndani ya nchi rafiki inasikitisha sana! Hawa akina Kabudi hawana diplomasia ya biashara na uchumi? Au wanachojua ni zile diplomasia za miaka ya 60 tu za hata mtu akijikwaa kwenye gogo aliloliwekwa mwenyewe anasema, 'unaona njama za mabeberu na wakoloni!'.

Hii inadhihirisha wazi ukweli ambao wengi wamekuwa wanausema, Rais hana watu sahihi kwa majukumu ya kitaifa. Mara nyingi watu wanaofanya kazi kubwa ya kumsifu boss wao ni wale wenye mapungifu makubwa kiuwezo na ni watu wasiojiamini.

Poleni Watanzania kwa hii aibu ya kidogo chetu kutaka kunyang'anywa.
Mbona kazi ndogo sana hiyo mnahamanika bure kitumwe kikosi cha wasiojulikana waende wakawateke waliokamata ndege yetu hawatujui nini hawa?
 
Unapoteza muda wako, labda umshawishi Chief Mareale kwanza akikubali, basi wanaoichukia Tanzania yetu na kufurahia matatizo yetu ndo watabadilika, lkn kuongea nao hapa unapigia mbuzi Gitaa.
Watu wenye vinasaba vya kishetan km ww wabishi sanà.Mtoa mada amegusia kusingizia,kutesa na kuteka,kupiga risas watu hadharan hujaona kwakuwa yanakuhusu,ulipenda Lisu afe ukijidanganya kuwa utåishi milele.Awam imetesa sana watu,watu wameumizwa sana zaid ya maumivu ya ndege kukamatwa,hamyaon mmekua vipofu huku mkipiga vigelegele kama misukule.
 
Back
Top Bottom