Rais Magufuli, Mawaziri na watendaji wake, ni kama ujenzi wa wa Mnara Babeli

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Kuhusu bandari: Rais Magufuli anasema hivi, Waziri Mbarawa anasema vile

Kuhusu Machinga: Rais Magufuli anasema hivi, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Makonda anasema vile.

Kuhusu Wabunge wa Upinzani: Rais Magufuli anawaponda hivi, Spika anaiwata hivi, naibu spika anaponda na Lusinde anamkasirikia Spika kisa Kuwaita ubunge.

Kuhusu ajira Mpya: Rais Magufuli anasema hivi, Waziri Jafo anasema vile na Waziri Simbachawene anasema vile huku Waziri Mhagama anasema hivi.

Kuhusu elimu bure na mikopo ya elimu ya juu: Rais Magufuli anasema hivi na Waziri Ndalichako anasema vile.

Ni mengi ninayo ntawachocha sana, kweli kwa style hii mnara utasimama?
 
TRA ......VAT ya miamala ya simu na mabenki italipwa na makampuni.......BOT... itakuwa mzigo kwa Wananchi. Sasa ukitoa laki moja MPESA unakatwa 3,500 ....ATM ndio kabisaaa
 
TRA imesema ongezeko la kodi ya VAT kwenye gharama za miamala halitawagusa watumiaji wa mwisho wa huduma. Litabebwa na benki/kampuni za simu.

BOT imeaema ongezeko hilo litabebwa na watumiaji wa mwisho wa huduma na halitabebwa na benki/ kampuni za simu.
 
Hii imeaaje mawaziri na wakuu wa mikoa kutoa matamko kisha Rais ku neutralize; je hakuna mawasiliano kati ya mawaziri na ikulu? mfano wakuu wa mikoa ya Dar na mwanza walisema wamachinga waondoke kati kati ya majiji, Raisi amesema machinga waachwe na wao wanastahili kufanya biashara mjini.

Kwa kifupi hili swala limekuwa na kilio cha wafanya biashara wengi, kuwa wamachinga wanauza vitu kwa bei ya chini kwa sababu hawalipi kodi. Lkn pia wamachinga wamkewa muhimu katika ku regulate mfumuko wa bei, maana km si wao vitu vungekuwa vinauzwa bei za juu sana.
 
Lowasa alishasema maguful hana vision watu wakampuuza. Angelikuwa nayo haya yasingetokea. Kama kila leo anatofautiana na watendaji wake kuna dalili ya maendeleo hapo? Magufuli anaruruka hana vipaumbele hana plan. Ukiwa na plan huwez kutofautiana na watendaji wako. Wote mnakuwa na jibu moja kwasababu mnatembea kwenye line moja.
 
Nimekwisha sema ndani ya ccm wapo chadema na ndani ya chadema wapo ccm hivi watanzania tutarajie nini tutasonga mbele au tutabaki tulipo au tutarudi nyuma rais magufuli ni mzuri sana tena sana lakini kuna unyama anaofanyiwa huyu rais alituomba watanzania tusaidie tena tumuombe mungu kifupi ana maaduwi wanao muanda kwa fitana heri ya mchawi kuliko fitina
 
Back
Top Bottom