Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 39,800
- 71,222
Kuna jambo linampasa Rais aangalie kwa makini kuhusu hii timu yake inayomsaidia yaani mawaziri.
Sasa hivi Waziri akisimama kuzungumza au kuandika makala, robo tatu ya maelezo yake ni kumsifu Rais na kumpongeza tu tena pongezi nyingi zikiwa zimeambatana na UONGO WA WAZI.
Wananchi nao wanamsifia kocha mkuu (Rais) na sio wachezaji wake kwa hayo mafanikio ambayo ni matatu kati ya kila mambo kumi.
Tumkumbushe mheshimiwa Rais, kwamba akiona mchezaji wake (waziri) anatumia nguvu nyingi kumsifia kocha (Rais) na hakuna tija binafsi basi huyo analinda nafasi yake yakuwa katika first eleven na sio zaidi ya hapo.
Na ni kuwa kamdharau Rais kuwa anaendekeza sifa hivyo hataweza kuona utendaji mbovu alionao!
Jee mheshimiwa anaendekeza Sifa kama hawa mawaziri wanavyo amini?
Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app