Rais Magufuli: Magazeti yanayoandika kuna njaa yamenunuliwa na wanasiasa na wafanyabiashara

Hamna maendeleo bila hardship leo mtalia njaa na gvt haitawapa chakula ila mwakan msilie tena njaa maana akili zenu ztaj tune kufanya vitu tofauti.

Leo mlie njaa gvt iwape chakula mwakan tena the same mlie njaa gvt iwape chakula stupid.

Hv tanzania yenye aridh yenye rutuba hv na maji mengi sana mito na maziwa na bahari watu wanalia njaa au nikwamba hatutumii vichwa vyetu vzur bado tunategemea mvua kulima? Jaman, kuna nchi zpo jangwan znalisha dunia afu sie tunalialia njaa bila aibu na kuna aridh ambayo ni virgin. Tumekaa kwenye mitandao so relaxed eti kuna njaaa si wat?

Kabla hatujainyoshea serikali mikono inabd tujiulze sana kama kweli tunatumia akili zetu sahihi
Kuna maeneo mapori watu wanakata miti wanapasua mbao leo pamekua peupe afu wanalia hamna mvua.

Tanzanians we are so lazy plus our so fake politicians wanao kuja humu kuongea blah blah tu lets change our minds tanzanians kukusha huku kulialia hakusaidii kitu tubadir fikra zetu.

Niltegemea wanasiasa wa upinzan labda wangekuja na njia mbadala ya kuepuka baa la njaa mwakan kwa kuhimiza wananch kufanya kilimo mbadala wananch kutupatia chakula si soln ya njaaa.

Tunataka mtuhimize tutumie vzur maji aliyotujalia Mungu. Tuhimize bas serikal ijenge mabwawa ya umwagiliaji,labda ztolewe ruzuku za uchimbaj vsima mashamban,watu wasiharibu vyanzo vya maji, yale maji ya mafuriko dar tuyavune ili yatumike ktk shughuli za kilimo nk nk hzi ndo soln ningependa kuona znatajwa na wapinzan bt since we hv bogus politicians yanakaa kulialia tu huku kwenye mitandao so bogus indeed.
 
Yohana M'batizaji! Tatizo lako umezoea kula nzige huko mwituni ndo mana huoni tofauti ya chakula tunachokihitaji na njaa tunayosemea
 
Raisi amesema mwenye jukumu la kutangaza Baa la njaa kwa mujibu wa Katiba ya JMTZ ni Raisi wa JMTZ, hivyo wote wanaotangaza njaa wanavunja Sheria ya nchi!

Mbona na yeye anavunja KATIBA?Aliyesema hayo ni mpuuzi basi njaa ikitokea ni lazima wachache waseme ili RAIS aamke na kulitolea maelezo.Unakuja unasema sitoi chakula halafu unanunua ndege duh
 
Wale waimba mapambio waendelee kuimba,kusifu na kutukuza.

Kinachofuata ni kuambiwa kuwa hata bei ya unga wa mahindi inapandishwa na wanasiasa wa upinzani!

Hata viwanda visipojengwa watasema wapinzani ndio wame-scare off investors
Issue za nchi hii lazima asingiziwe mtu.

Picture this-

ZEE la ulabu kunywa pombe hadi kulewa na kuwafanyia fujo majirani zake, lawama anawapa wapinzani kwa kumchafulia jina lake.

Bwana yule anadikiri kusema njaa wameletwa na wapinzani, lawama wanapewa wapinzani.

Magufuli awejibike. Asituletee siasa.
 
Mbona na yeye anavunja KATIBA?Aliyesema hayo ni mpuuzi basi njaa ikitokea ni lazima wachache waseme ili RAIS aamke na kulitolea maelezo.Unakuja unasema sitoi chakula halafu unanunua ndege duh
Kwani ndani ya ndege umeambiwa hamna chakula?
 
"Inawezekana nisiwe mwanasiasa mzuri, lakini siku moja mtakumbuka kwa haya ninayoyafanya"

JPM Leo 11.1.2017 Simiyu
Tutamkumbuka kwa tukununulia ndege za mapangaboi wakati sera ya viwanda kwanza imeachiwa tamisemi.
 
Huyo mwenye mahindi bandarini imekula kwake haijalishi ni ccm au ukawa!
Kwani wale waloficha sukari ilikula kwao? Wewe ndio ilikula kwako ukanunu sukari kilo 3500.

Kwa haya mahindi, itakula kwako tena maana bei ya kilo ya unga inapanda.
 
Hii serekali tangu imeingia madarakani imekua na salakasi nyingi kama utumbuaji usiofata sheria na kanunini za kazi, TRA walivunja rekodi ya ukusanyaji wa mapato kumbe walikua wanakusanya mitaji ya watu leo hii wafanya biashara wamefunga maduka nitaji imekata awajui chakufanya, sijasikia majigambo tena ya tumekusanya kodi na kuvuka malengo ,MUDA UNAONGEA, Rai wanalia ugumu wa maisha tunambia wapiga dili ao wamezoe kupiga dili watu wanalia njaa tunaambiwa awajui njaa mala sio njaa niwavivu Haya mfanya bishara kaagiza mahindi kwa bei ndogo mzigo ukifika bongo ushuru nizaidi ya malatatu ya manunuzi ya mzigo badala ya kuyatoza 18% wanamkomoa ili ayaache yachukuli bure na serekali, hivi kwanini serekali hii kama inaona wafanya bishara wanapata faida kubwa sana kwanini serekali isifanye bishara zote waagize mizigo wao watoze ushuru wao wauze na magenge wao wafanye umachinga wao ili kuongeza mapata ,Kuna neno linakera sana eti msema ukweli mpenzi wa Mungu kama mgekua wakweli ngeyasema yote hayo kwenye kipindi cha kampeini zenu.
 
Wewe ni mbea...unadhani ss wengine hatukuwa kwenye televission?

Unatuletea story zako za kuungaunga ukidhani wengine hatujaona live?

Nyambaf.
Ndugu, usiongee kwa kubahatisha. naona yale maneno yamekukera kiasi kwamba ukahisi amesingiziwa! kwa taarifa yako hayo maneno kayasema mwenyewe

ndio mjue kuwa tukilalamika huyu mtu ni shida mjue tunamaanisha kweli kweli
 
Wewe ni mbea...unadhani ss wengine hatukuwa kwenye televission?

Unatuletea story zako za kuungaunga ukidhani wengine hatujaona live?

Nyambaf.
Ndugu, usiongee kwa kubahatisha. naona yale maneno yamekukera kiasi kwamba ukahisi amesingiziwa! kwa taarifa yako hayo maneno kayasema mwenyewe

ndio mjue kuwa tukilalamika huyu mtu ni shida mjue tunamaanisha kweli kweli
 
Magufuli ni aina ya kiongozi ambaye tunamuhitaji, ana nia njema kabisa na taifa. Tatizo lake mkuu yuko emotional sana, na hapa ndipo panatisha zaidi.

Mr President needs to know that everybody gets checked, don't matter how good/bad they're, it's human nature. Jesus could moonwalk on water and pull some badass stunts, but they still checked him from time to time.

He should be focusing on his goals, not on his rivals. They're there to sway him, and it's starting to look good for them, cos they're getting his attention.
 
Yaani rais yupo pale majengo meupe akila bata kwa kodi zetu huku wananchi wa Itale kule Ileje, Nakapanya kule Songea, Itagata kule Itilima, au Kibaoni kule Mufindi wakilia njaa rais atayajulia wapi. Na isitoshe washauli wa rais badala ya kumshauli wao ndo hushauliwa. Hapo nadhani wanaoelewa wamenipata akili kumkichwa!
Hizo taarifa za uwepo Wa njaa atazipata wapi wakati wakuu wa wilaya wamepigwa kufuli "atakayetoa taarifa ya njaa" ajiondoe.
 
Hamna maendeleo bila hardship ni kweli na kila mtu anajua hilo huwezi kuwa na maendeleo pasipo hardshipila kumbuka ili kuwe na maendeleo ya nchi na mtu moja moja ni kazi ya serikali kuandaa mzingira kwa kupitia budget zake leo mtalia njaa na gvt haitawapa chakula ila mwakan msilie tena njaa maana akili zenu ztaj tune kufanya vitu tofauti.

Leo mlie njaa gvt iwape chakula mwakan tena the same mlie njaa gvt iwape chakula stupid kwani kina mtu anayependa Ukame utokee watu wafe njaa,jibu ni hapana.Moja kati majukumu ya serikali za kidunia ni serikali kuwa kwa ajili ya wananchi na kuwaonyesha njia hasa kwenye mazingira kama haya ya matatizo

Hv tanzania yenye aridh yenye rutuba hv na maji mengi sana mito na maziwa na bahari watu wanalia njaa au nikwamba hatutumii vichwa vyetu vzur bado tunategemea mvua kulima? Jaman, kuna nchi zpo jangwan znalisha dunia afu sie tunalialia njaa bila aibu na kuna aridh ambayo ni virgin. Tumekaa kwenye mitandao so relaxed eti kuna njaaa si wat? we jamaa bwana unafurahisha hivi watu ambao karibu asilimio 80% wanaishi chini ya dollar moja unawambia wasitegemee mvua bali kilimo cha umwagiliaji hiyo mitambo ya maji watanunulia nini ni kazi ya serikali kuangalia mgawanyo wa keki ya taifa,mfano watanzania wengi wanategemea kilimo lakini kilimo hakiongozi kwenye GDP ya taifa serikali inatakiwa ila sekta ya madini na utalii lakini sekta hizi hazijaajili watu wengi inatakiwa mapato yanayotokana na utalii yapelekwe kwenye bank ya kilimo na masharti ya watu kupokea mikopo yapungua

Kabla hatujainyoshea serikali mikono inabd tujiulze sana kama kweli tunatumia akili zetu sahihi
Kuna maeneo mapori watu wanakata miti wanapasua mbao leo pamekua peupe afu wanalia hamna mvua.huwezi kuzuia watu kukuta miti kwa asilimia 100 kwa sababu kiuchumi kunashughuli nyingi zinazofanywa na miti-ili mtu awe na maendeleo binafsi ni lazima awe na nyumba ya kisasa je utajenga nyumba bila kuwa na mbao-kuna thamani mbalimbali za majumbani na ma ofisini zinazotengenezwa kwa miti je watu waache waacha kukata miti??? hapana ndio maana kuna serikali ili magapu kama hayo itafute alternative ni jinsi gani vyote vifanyike miti iendelee kukatwa kwa ajili ya kurahisiha maisha at the same time mingine ipandw kuhakikisha mvua zinanyeshandio maana kila seikali duniani zinaanzisha progaram hizo-ukioana chanzo cha mvuo kutonyesha ni kutokana na ukosefu wa miti basi jua serikali iliyopo haijafanya kazi yake ipasavyo.
Tanzanians we are so lazy plus our so fake politicians wanao kuja humu kuongea blah blah tu lets change our minds tanzanians kukusha huku kulialia hakusaidii kitu tubadir fikra zetu. hivi unawezaje kubadilisha fikra pasipo kuruhusu mawazo mbadala ya watu wengine,aliyeshikilia mpini anaamini katika kitu fulani je wewe ambaye hujashika mpini hata ukiwa na mawazo mbadala utawezaje kuyaweka katika uhalisia-mfano wapinzani wanaweza wakawa na mawazo mazuri lakini hayo mawazo yawe na uhalisia ni lazima yawekwe kwenye mipango ya bajeti ili yatekelezwe je nani wa kuruhusu hicho kitu??? kama hupokei mawazo ya wengine ni wazi watu wa ta be discourage

Niltegemea wanasiasa wa upinzan labda wangekuja na njia mbadala ya kuepuka baa la njaa mwakan kwa kuhimiza wananch kufanya kilimo mbadala wananch kutupatia chakula si soln ya njaaa.nimisha kujibu hapo juu ila ngoja niongezee kidogo.hadi leo huwa najiuliza ilikuwaje CCM walikuja na sera ya viwanda-maana kwenye uchumi tunasema huwezi kufikaia mapinduzi ya viwanda pasipo kupitia mapinduzi ya kilimo akiachilia hilo sote tunajua 80% ya watanzania wanategemea kilimo ni wazi mvua ikisheki kidogo italeta athali kwa watanzania wengi.nirudi kwenye hoja yako ya msingi unaposema wanasiasa wa upinzani wahimize wananchi kufanya kilimo mbadala napata shaka na uielewa wako kwani hujui sasa hivi sera ya CCM ni Viwanda na kama ndivyo ni wazi fedha nyingi katika budget zitaelekezwa huko sasa unaposema watu wafanye kilimo mbadala wanapata wapi hizo hela

Tunataka mtuhimize tutumie vzur maji aliyotujalia Mungu. Tuhimize bas serikal ijenge mabwawa ya umwagiliaji,labda ztolewe ruzuku za uchimbaj vsima mashamban,watu wasiharibu vyanzo vya maji, yale maji ya mafuriko dar tuyavune ili yatumike ktk shughuli za kilimo nk nk hzi ndo soln ningependa kuona znatajwa na wapinzan bt since we hv bogus politicians yanakaa kulialia tu huku kwenye mitandao so bogus indeed.
sera ya sasa ni viwanda
 
Sijui! Ila ninachofahamu ndiyo hicho, kwamba Tanzania hakuna baa la njaa isipokuwa kuna umaskini ambapo Wananchi hawana uwezo wa kununua chakula, hali inayosababishwa na kuwa na kipato kidogo au kutokuwepo kabisa kwa kipato, na hilo haliwezi kuondoka ndani ya miaka 2 au hata 5 itachukuwa miaka mingi zaidi mpaka kila Mtanzania awe na uhakika wa kula Mlo kamili!
hili tatizo limeanza lini?
 
Back
Top Bottom