Harrison Justine
JF-Expert Member
- Jun 19, 2015
- 1,136
- 559
Nadhani wewe ni mtu makini na jambo hili utalitolea tamko, Mungu akubariki.
Hili safiKweli anapaswa kuhakiki mpaka kwenye ngazi za mishahara kwani wako watumishi wengi has a walimu wameanza kazi pamoja lakini kuna utofauti wa mishahara.
alafu kuna watu wanashabikia sisiemu, Mimi kabla ya mambo ya uhakiki nilimshauri Mdogo wangu apige mikopo kwenye banks then asepe sasahv anasukuma biashara zake pasipo preshaswala hili la madaraja Mimi linaniuma sana kwani Mimi binafsi nilipenda daraja mwaka 2010 nikaja kurekebishiwa mshahara mwaka 2012 lakini mpaka Leo sijalipwa zaidi ya miezi 18,ila sasa toka nipande daraja 2010,sijapanda tena mpaka hii 2016 inaisha,yaani nafanya kazi sana ila moyo wangu hauna furaha kabisa,wenzangu nilioanza nao kazi wameshapanda hadi walioanza kazi mbele yangu wamenipita mshahara,yaani nahudhunika kweli,kosa langu naambiwa ni kwenda kusoma na kubadirisha muundo,nipo najiuliza hivi ukijiendeleza ukiwa kazini ni kosa?,kwa maana wale wasiojiendeleza ambao nilianza nao kazi wanamshahara mkubwa zaidi yangu,Inaniuma sana
Nchi hii ni Shida sana hasa hiyo taaluma ya waalimuAnaedai anaomba kwa huruma alipwe heeee heee anaedaiwa ndio mbabe hapa duh vitu vinaenda kasi ila kinyume nyume nilitegemea serikali ndio ingeandika haya maombi kua hawana hela wavumiliwe