Dreamliner walisema inaanza kwenda China soon, nahisi ndo ataipanda. Kama Kenyatta alivyofanya KQ ilipoanza kwenda Marekani.Mmm! Boeing 737 Max 8!Najua wazo lako na roho yako mbaya.Haendi na hiyo,anakwenda na ndege ya Rais, Dreamliner,Airbus A220-300 au Bombadier.
Usiishi katika ndoto. Ujamaa ulijifia kitambo, hata kwa China na Urusi umeprove failureEvery Tanzanian dream is to have a socialist economy in our country and that's what our President thinks of. Go! Go mr.President and open the socialist world for us
Mkopo ni Mkopo tu hata ukikopa kanisani au msikitini bila masharti bado definition yake haibadiliki na Hakuna free Mkopo. Zambia nao wanalia na wa China Tanesco yao na uwanja wa ndege umechukuliwaInaelekea unawahusudu sana Wazungu mkuu,mbona ni washenzi wa kutupa.They do not have any moral value.
yaani habari nzima inaelezea jinsi china itakavyonufaaika tu, hakuna neno wala.sentensi inayoonekana kuwa tanzania tutanifaika vipi na viwanda vya wachina. Badala ya kusema China na tanzania watajenga viwanda kwa mikataba ya ubia, wanasema china itajenga na itanufaika na soko kwa sababu tanzania ni nyonga ya afrika. Zaidi ya kwenda china kama kuwakomoa watu wa Magharibi na ulaya sioni sababu nyingine ya ziara ya china ya Magufuli.China kitaleta imani ya wafanyabiashara wa China, hivyo Tanzania itakuwa kwenye nafasi ya kunufaika zaidi
Tanzania imekaa kwenye nyonga ya Afrika ambako China inaweza kunufaika zaidi,”
Naukumbuka huu wimbo wa yule mvuta bangi wa Temeke wa Mgambo wanavyoruka na kukanyagana!!!!!! .
Uchumi wa Zimbabwe siyo kama wa Tanzania, wao ni wa mashamba makubwa na kununua vyakula kwenye supermarket. Sisi wetu unaendeshwa na wakulima/wafanyabiashara wadogo wadogo, tunanunua vyakula magengeni kwa hiyo siyo rahisi mtu kubonyeza kutufe akiwa huko na kuuzima uchumi wetu.Mugabe alipotiliwa ngumu na wazungu naye alihamia huko akifikiri wangeweza kumsaidia lkn yaliyofuata ni kilio na simanzi. Zimbabwe ilipigwa nuks ya milele.
Boeing 737-8 arudi kama Nyerenda 1999
Mnafikiria kununua tu huko nje na siyo kuuza! Hiyo shilingi inapandaje sasa we taahira?Ushawahi fanya shughuli yoyote ile ya kununua bidhaa nje ya Tanzania au unauza machungwa tu ?
Fikiria dunia bila wazungu ingekuaje? Hayo mambo ya morality ni subjective.Inaelekea unawahusudu sana Wazungu mkuu,mbona ni washenzi wa kutupa.They do not have any moral value.
Maybe atakwenda kwenye safari ya uzinduzi wa route ya China ya 787-8
Katikati ya kutekana na kupigana risasi???... morality and fairness ni ndoto.What we want is a just,moral and fair society.Whether you call it socialist or whatever is none of our damn business.