Rais Magufuli kuiibua upya Katiba ya Warioba

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
48,694
149,920
Hii ni habari katika ukurasa wa mbele wa gazeti la Raia Mwema kama linavyoonekana hapa chini.

DSC00926-768x1024.jpg
 
NILIWAHI KUMWAMBIA RAFIKI YANGU SIKU MOJA,KWAMBA MZEE LAZMA ATAIBUA ILE KATIBA KWAKUA MAMBO YOTE YA UADILIFU YAKO MLE
 
Hivi ni ya warioba au ya chenge? Ujue ccm ya chenge ndio Hiyo wanaiita ya warioba,ebu tutofautushie.
 
Kama umepata fursa ya kusoma hilo gazeti ni vema ukaeleza kwa kina coz sisi wengine tupo mbali ambako Magazeti yanachelewa kufika
 
Kama umepata fursa ya kusoma hilo gazeti ni vema ukaeleza kwa kina coz sisi wengine tupo mbali ambako Magazeti yanachelewa kufika

Don't waste your time na Rai Mwema. Nao ni watabiri tu
 
Hiyo ndo tunaitaka coz inaongelea yote yanayotokea sasa hivi kama kinachoendelea sasa
 
Kuna mengi ya msingi yalikanyagwa kwenye katiba ile, ilikuwa lazima kwa kiongozi yyte mwenye jicho la uadilifu kurudisha ile katiba ijadiliwe tena upya, katiba hii inayotaka kupitishwa ni ya kipuuzi sana na imeegemea kubeba upande mmoja tu,
 
Dr Magufi hawezi kuitumia katiba ya mtu mchafu kama Andre Chenge na kuiacha ile ya mtu muadilifu kama Warioba,atakuwa anaenda kinyume na kile anachoamini.
 
Chama kina nguvu kuliko rais haiwezekani kuibua upya. Hapa anazungunza tuu kuwapumbaza wanzibar kuhusu huu mkwamo wa kisiasa.
 
Kama umepata fursa ya kusoma hilo gazeti ni vema ukaeleza kwa kina coz sisi wengine tupo mbali ambako Magazeti yanachelewa kufika

Sijui ni uvivu wa kuandika au ni elimu ilivyo shuka hapa Tz. Watu wanashindwa kusoma gazeti na kuandika maneno machache ya muhimu. Zamani shuleni tulikua tunaambiwa soma kitabu au habari yoyote halafu andika essey isio zidi maneno 50 au 100. Yaani andika kiufupi.
 
Ngoja niitafute hiyo habari ndio niamini
maana kunamtu alikuja akaropoka kama hivi "Ujenzi wa bandar ya bagamoyo wa sitishwa"

Baada ya siku mbili serkali ikakanusha habari hizo.
 
Sijui ni uvivu wa kuandika au ni elimu ilivyo shuka hapa Tz. Watu wanashindwa kusoma gazeti na kuandika maneno machache ya muhimu. Zamani shuleni tulikua tunaambiwa soma kitabu au habari yoyote halafu andika essey isio zidi maneno 50 au 100. Yaani andika kiufupi.

Hiyo ilikuwa zamani. Waambie warekodi hata kwa maneno summary na clip waweke hapa. Labda itasaidia hawa ni watu wa kurap.
 
Back
Top Bottom