Bado masoko yanajengwa katikati ya mji badala ya kupeleka nje ili kupunguza msongamano, nilidhani mpango wa sasa ni kujenga Kariakoo nyingine Mbezi Luis, Tegeta, Mbagala, Kigamboni, Tabata na GongolambotoUjenzi wa Soko la kisasa Kisutu majira ya saa 03:30 Asubuhi
Ok!tumemiss ziara za mheshimiwa
Shida ipo kwenye "kukaguliwa kaguliwa". Hivyo yaani!tumemiss ziara za mheshimiwa
na kutoka hapa hakuonekana tenaMabavicha yatakwambia kakimbilia chato kuogopa corona.
aiseeNa pandemic hii? sawa ngoja tuone.
😂😂Mabavicha yatakwambia kakimbilia chato kuogopa corona.
Mpaka.....na kutoka hapa hakuonekana tena
Agano litimieMpaka.....