msemakweli
JF-Expert Member
- Feb 20, 2014
- 1,627
- 880
Heshima zenu wadau.
Kama wachambuzi wa masuala ya kisiasa wajuavyo, ni nadra sana kwa Rais kuongeza kura katika mid-term elections, yaani uchaguzi baada ya muhula wake wa kwanza.
Kikwete aliingia na kura karibu 80% lakini 2010 akaambulia 60%
Dunia nzima hata marekani, uingereza, canada e.t.c. trend huwa ni hiyo.
Sasa Rais wetu huyu ameingia kwa kura 50-something percent (supposedly). Tutegemee nini 2020? I leave that to your imagination!