Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.
Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.
Naona wewe ndio humjui Rais,mkurugenzi wa same alitia nia kesho yake mkuu akateua mtu,hapo vipi?Aisee nadhani wewe Ndugu yangu hujui chochote kuhusu masuala ya utawala wa nchi..kuna political appointments na teuzi nyingine..wale wengine wanaomba ruhusa tu au pengine likizo bila mshahara..wale wa kisiasa ni tofauti..
Sijui kwa kweli..Naona wewe ndio humjui Rais,mkurugenzi wa same alitia nia kesho yake mkuu akateua mtu,hapo vipi?
Katibu Wizara ya maji ni cheo cha kisiasa, RAS Katavi ni cheo cha kisiasa?Kwani ukurugenzi ni cheo cha kisiasa? Huyu atakosa tu mshahara wa mwezi June ila kazi anaendelea.
MhhhUnajua waliotumbuliwa kweli? Sasa nikueleze kitu ndugu, CCM ya Magufuli inaweza kufanya kosa la karne na ikajutia. Mfumo/ mifumo ya CCM inaendeshwa kwa Rushwa na Ulaji (hata wajumbe wanajua na kula yao ndipo ilipo). Sasa mkiwaengua ambao walitumia ulaji/Rushwa/ utaratibu ndani ya chama ni dhahiri mnataka kutoboana macho wenyewe na itafika ile ya "Tukose wote". CCM ambaye hakutumia Rushwa hata kidogo ni aliyepata kura 0. Hakuna mjumbe hata mmoja wa CCM aliyepata kura moja (1) bila kuinunua/kuilipia. Nimuombe tu mwenyekiti wa CCM na kina Polepole Waache mfumo wa ndani ya chama utamalaki kama ilivyo kawaida. Otherwise mtakuja kunikumbuka.
SIO MSHAHARA WA JULAI TU KAMA BARUA YA MAAGIZO ILIVYOELEKEZWA ; BALI HATA AGOSTI NA INAWEZEKANA NA SEPTEMBA NA DESEMBA MKUU.....SABABU AGOSTI HAWAJAWEKWA NA NDUMBARO YUKO SILENCE. KUNA BAADHI YA WIZARA NA OFISI KAMA TAMISEMI, HABARI , WAZIRI MKUU NK HADI POSHO ZA NDANI WALIZOFANYIA KAZI PIA WAMENYIMWA WAKATI NI HAKI ZAO !Watumishi walichopoteza ni mshahara wa July tu,
SIO KWELI....KUNA NAMNA !Itakuwa alisahaulika tu, Ila na wewe acha umbeya wa kuchongea wengine