Rais Magufuli katumbua wote waliotia nia kasoro Godwin Kunambi

Hata wewe mwenyewe huna uhakika ndio maana umeleta habari ya kutaka mtu achukuliwe hatua zitakazo athiri maisha yake binafsi lakini habari zenyewe ziko nusunusu!! Hujasema alienda kugombea jimbo gani, chama gani, alipata kura ngapi na alishika nafasi ya ngapi? Inawezekana siyo Kunambi huyo labda!!!

Unapotaka kumfanyia mtu roho mbaya, upeleke umbea mahali ili aharibikiwe mambo yake basi angalau uchunguzi walo uwe umekamilika
 
Alikwenda kugombea ubunge japo kwa kujificha kama wengine. Amerudi bado yupo anachapa kazi ofisini. Hivi huyu ni nani asiachie ofisi!? Huyo aliemteua haoni au sheria ile ni selective!? Kunambi ona aibu.
Amekwambia nani???.
 
Magufuli aliwatumbua kwa mbwembwe wateule wake wote waliotia nia sehemu mbalimbali, maarufu zaidi akiwa kijana wake mpendwa Makonda.

Cha ajabu mkurugenzi wa jiji la Dodoma Bwana Godwin Kunambi alitia nia huko Morogoro, jimbo la Mlimba na akatoka ngoma droo na binti wa mama Rwakatare aitwaye Rose Hellen Rwakatare, lakini kunambi karudi ofisini jijini anaendelea na kazi kana kwamba hakukiuka maagizo ya Magufuli.

Magufuli kwanini katumbua wote isipokuwa Kunambi? Ndio mtoto pendwa mteule?

Wajuzi tujuzeni.
 
Kwiiiisha habari yake
 
Back
Top Bottom